hayo maghorofa ni lazima yawe na drainage/sewerage system inayokidhi, pia infrastructures on how the city centre connects/links with surrounding neighborhoods maana huko katikati wanakaa 'waungwana'
hatuweki hizo kwani kule tunakozitoa hamna kama zile kwa kuwa kule tunaonyesha upande mwingine wa afrika, kwamba, afrika nayo ina maeneo mazuri na sio kama maeneo hayo uliotaja tuu, hakuna mtu duniani asiyejua nchi za dunia ya tatu zina hali gani katika majiji yao, ndio maana hata wale wanaopiga box uaibuni (ughaibuni teh teh) sidhani kama kuna mtu aliwahi kuulizwa na masela wake labda wakipiga story za utotoni mpaka walipokua , kama unaweza kuulizwa hivi uliwahi kucheza video au computer game flani? sana sana utaulizwa, kwenu simba wengi eehh, ukitoka tu mlangoni unakumbana na simbaee? teh teh. ukitaka kuthibitisha gonga hapa watu hawajui kama Dar pia ni moja ya jiji kubwa na modern afrika, watu wanashangaa sasa hivi ohhh hii ni dar?Tuwekeeni na picha za maeneo kama keko toroli, tandale kwa mtogole, mwananyamala kwa kopa, mburahati kwa jongo, mbagala kingugi, mtoni kwa azizi alli, manzese kwa mchina, kawe ukwamani, msasani bonde la mpunga etc
cha ajabu ni kwamba wapo nje kila siku, sijui hawaoni kule wanakoenda, au hata hawatamani na kwao pawe vile, kazi kweli kweliWatawala hawajui tunacho kihitaji na kama wanajua basi hawakihitaji kwasababu sitaki kuamini kama hawaoni mpangilio m bovu wa majengo holela kwa miundombinu ya miaka 47 inavyoshamiri kwenye jiji linaloitwa la kimaifa.