Dar es Salaam City in Photos

new bagamoyo road ishaanza matengenezo, hivyo itakua afadhali kidogo
 
hayo maghorofa ni lazima yawe na drainage/sewerage system inayokidhi, pia infrastructures on how the city centre connects/links with surrounding neighborhoods maana huko katikati wanakaa 'waungwana'

Kariakoo hata sehemu ya kupaki gari hakuna.
 
Tuwekeeni na picha za maeneo kama keko toroli, tandale kwa mtogole, mwananyamala kwa kopa, mburahati kwa jongo, mbagala kingugi, mtoni kwa azizi alli, manzese kwa mchina, kawe ukwamani, msasani bonde la mpunga etc
 
Tuwekeeni na picha za maeneo kama keko toroli, tandale kwa mtogole, mwananyamala kwa kopa, mburahati kwa jongo, mbagala kingugi, mtoni kwa azizi alli, manzese kwa mchina, kawe ukwamani, msasani bonde la mpunga etc
hatuweki hizo kwani kule tunakozitoa hamna kama zile kwa kuwa kule tunaonyesha upande mwingine wa afrika, kwamba, afrika nayo ina maeneo mazuri na sio kama maeneo hayo uliotaja tuu, hakuna mtu duniani asiyejua nchi za dunia ya tatu zina hali gani katika majiji yao, ndio maana hata wale wanaopiga box uaibuni (ughaibuni teh teh) sidhani kama kuna mtu aliwahi kuulizwa na masela wake labda wakipiga story za utotoni mpaka walipokua , kama unaweza kuulizwa hivi uliwahi kucheza video au computer game flani? sana sana utaulizwa, kwenu simba wengi eehh, ukitoka tu mlangoni unakumbana na simbaee? teh teh. ukitaka kuthibitisha gonga hapa watu hawajui kama Dar pia ni moja ya jiji kubwa na modern afrika, watu wanashangaa sasa hivi ohhh hii ni dar?
http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=172756&page=9 na hapa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=172756&page=8
gonga hapa kuangalia picha zote mpya za bongo http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=308833&page=2 , http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=308833&page=3
 
JENGO LA UHURU KARIBIA LINAKAMILIKA, JENGO LA PEMBENI YAKE LINAJULIKANA KAMA VIVA TOWER

5-16.jpg


KARIBUNI MJIUNGE NASI PIA http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948&page=63
 

katika ulimwengu huu tunaoishi hakuna mtu asiyejua majiji ya dunia ya tatu yalivyo, hivyo basi katika maeneo kama haya huwa tunajribu kuonyesha kuwa, sio maeneo yote ya majiji yetu ndio yalivyo, wabongo ni tofauti na nchi nyingine showy katika africa, (showy countries) wanapenda ku showw off, huwezi ukakuta wameweka picha za ajabu ajabu katika international forum yao, ila bongo ni kama counter post, ukiweka picha nzuri mtu anakuwekea nyingine, hatuko katika vita hakuna asiyejua maeneo haya africa na maeneo mengine ya nchi zote zinazoendelea, hapa sijaribu kuficha uvundo ila panapostahili kuonyesha mazuri yetu angaliu hayana standard, tujitahidi tuu, sio kujicontradict wenyewe, at least hizo nyumba hapo juu ni za vigae, tujitahidi kutangaza nchi yetu katika international forums, picha kama hizi, huwezi kushindana na CNN, BBC na international media zingine ambazo zina coverage kubwa washapotosha ulimwengu kwa kuelezea africa ni njaa vita na ukimwi, washapost hizo, tujitahidi kupost positive side ya majiji na nchi zetu, kwani nina uhakika wasiojua hivyo watavutiwa kuja na tutapata hela kwa kuwakarimu katika mahotel na vyombo mballimbali viya usafiri za secta za utalii, bado kunawatu wengi hasa mashariki ya mbali na kati ambao sasa hivi ndio wana hela ya ziada na wanatka kutembea kuiona dunia,bado wanadhani africa ukitoka tuu nje unakutana na simba, kuna siku nilionyesha watu wa hapa picha za bongo wakashangaa wakasema heee na kwao kuna magari pia, heee, hapa kwenu kweli?
ndio maana tukipata chance kutangaza nchi yetu ni kujitahidi kuonyesha yale watu wengi wasiojua tuu
jiunge nami tafadhali
TANZANIA BEUTY AND NATURAL LANDSCAPES
http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1394666

DAR ES SALAAM AND ZANZIBAR PHOTO GALLERY
http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948&page=65

TANZANIA TOURISM
http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392&page=18
 
Watawala hawajui tunacho kihitaji na kama wanajua basi hawakihitaji kwasababu sitaki kuamini kama hawaoni mpangilio m bovu wa majengo holela kwa miundombinu ya miaka 47 inavyoshamiri kwenye jiji linaloitwa la kimaifa.
 
Watawala hawajui tunacho kihitaji na kama wanajua basi hawakihitaji kwasababu sitaki kuamini kama hawaoni mpangilio m bovu wa majengo holela kwa miundombinu ya miaka 47 inavyoshamiri kwenye jiji linaloitwa la kimaifa.
cha ajabu ni kwamba wapo nje kila siku, sijui hawaoni kule wanakoenda, au hata hawatamani na kwao pawe vile, kazi kweli kweli
 
Ni jiji lisilo na mpangilio wowote na halivutii kabisa kwa wageni, halifanani kabisa na Nairobi, tena kwa sasa wao wanajenga flyovers nyingi jiji zima, yaani linapendeza utadhani ni Europe or US, Ukiwa angani Dar haina mvuto, mitaa na ujenzi holela ni tatizo kweli. yaani ukiwa juu utadhani jalala.
 
69 Reactions
Reply
Back
Top Bottom