Cool
Senior Member
- Aug 5, 2009
- 114
- 57
Kila siku nikipita mitaa mbali mbali ya Dar es Salaam nasikia harufu ya fresh kinyesi, hivi ni nini hasa, ukichukulia mvua sasa hivi hazinyeshi ila mitaa inanuka kana kwamba jamaa wanajisaidia kwenye mitaro. Si uswahilini, si masaki, si mikocheni,, kote kunanuka tu. Hivi nani muhusika mkuu kusimamia mambo haya?