Maeneo mengi ya Dar es Salaam yananuka kinyesi

Hama ushwahilini mkuu. Kwanza mtu unawezaje sehemu hakuna hata miti. Mimi miti ni kigezo cha kwanza. Karibu Goba
 
Harufu ni ‘sensation’ mkuu.

Ukishaizoea huwezi tena kuihisi.

Ni kama radi ikipiga mahali wasipoishi binadamu.

Haitoi mngurumo wowote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom