Dar: Bilionea Davis Mosha mikononi mwa Polisi kwa kuwashambulia Maofisa wa Uhamiaji; aachiwa kwa dhamana

Huyu ajitathmini upya, angetazama mfano kwa Manji na akina Singa singa plus Rugemarila
 
Sio suala la mbuyu, ukishakua celebrity unatakiwa kua makini, ile mihemko yake imemharibia CV kwakua hataweza kukana
True ni kuwa makini sana,kwa wenzetu kile kitendo kinaweza mharibia hata kibiashara,au wapinzani kibiashara wakakitumia kibiashara
 
niambie waisrael wana kipi special ?!
Jibu swali kama nilivyouliza na sio kuleta mfanano wa kitoto hapa ambao haupo na hautokuwepo kamwe.

unawafahamu waisraeli wewe au unawaskia tu?

Huyo jamaa kasema eti wasukuma wanawonea wivu wachaga na ndio maana awamu hii hakuna hata naibu waziri mchaga, sasa ngoja niulize swali jingine kulingana na hiyo logic yake, Tanzania tuna makabila 128 je, kati ya hayo makabila mengine yote 127 yana waziri na manaibu waziri kwenye awamu hii? na kama jibu ni yapo makabila mengine ambayo hayana waziri wala naibu waziri kwenye awamu hii ni kwanini wao hawaonewi wivu wala hatuoni wakilalamika kuandamwa sana?
 
Hao Askari walitaka kula rushwa tu ndio maana jamaa alikuwa mkali,ukienda sehemu kama hizo jitambulishe vizuri......:"Habari Ndugu Mosha,Kwa majina naitwa Inspector Deck na Mwenzangu niliyekuja naye anaitwa Sajenti Nyoni tunatokea Wizara ya mambo ya ndani kitengo cha uhamiaji,Tumepata taarifa kwenye Apartment yako kuna ABCs tunataka kufanya inspections,vitambulisho vyetu hivi hapa na kama unataka more info unaweza ukapigia wakuu wangu wa kazi kwa namba ambazo zipo kila sehemu".
 
Huyu ajitathmini upya, angetazama mfano kwa Manji na akina Singa singa plus Rugemarila
Hata mimi ukija eneo langu la kazi kiboya boya kwa mwamvuli wa askari naweza nikakulima sululu la kichwa maana sitaweza kukutofautisha na jambazi au tapeli,kwanza utambulisho ndio muhimu na sio ubabe,watu wana "MANATI ZA MZUNGU" ukileta ubabe watu wanafumua UBONGO.
 
Hao Askari walitaka kula rushwa tu ndio maana jamaa alikuwa mkali,ukienda sehemu kama hizo jitambulishe vizuri......:"Habari Ndugu Mosha,Kwa majina naitwa Inspector Deck na Mwenzangu niliyekuja naye anaitwa Sajenti Nyoni tunatokea Wizara ya mambo ya ndani kitengo cha uhamiaji,Tumepata taarifa kwenye Apartment yako kuna ABCs tunataka kufanya inspections,vitambulisho vyetu hivi hapa na kama unataka more info unaweza ukapigia wakuu wangu wa kazi kwa namba ambazo zipo kila sehemu".
Kwa maelezo haya lzm mkae vzr mezani
 
Kwa maelezo haya lzm mkae vzr mezani
Ndio inapaswa wafanye hivyo,jeshi linafundisha kuwa na nidhamu ila kuna baadhi wanadharau sana "Raia" wanawachukulia kama "Maboya" kisa wao ni askari,yeye ni askari lakini na Mosha naye ile Sehemu waliokuja ni yake kwahiyo ukimfata lazima uje na nidhamu.
 
Hadi wameingia ndani tafsiri yake wameruhusiwa kwa kujitambulisha kwa walinzi.
 
True ni kuwa makini sana,kwa wenzetu kile kitendo kinaweza mharibia hata kibiashara,au wapinzani kibiashara wakakitumia kibiashara
hata kwa jeshi la uhamiaji nao wamedhalilika sana, kazi zao zitakuwa ngumu pia, watu watakuwa hawatoi ushirikiano, kwanza ni askari yupi hapaswi kuwa na uniform anapokuwa kazini? sio kila mtu wakufungulia geti wengine ni majambazi, haya mumemkamata na huko mahabusu hajakaa, sio kila mtaa unaweza peleka makanyagio, haya ya malima yako wapi? unaendesha kesi mtu anateulikwa kuwa RC kijijini kwenu.
 
Hata mimi ukija eneo langu la kazi kiboya boya kwa mwamvuli wa askari naweza nikakulima sululu la kichwa maana sitaweza kukutofautisha na jambazi au tapeli,kwanza utambulisho ndio muhimu na sio ubabe,watu wana "MANATI ZA MZUNGU" ukileta ubabe watu wanafumua UBONGO.
hawa jamaa sijui hawajifunzagi? alikuwepo heche suguta alikuwa anavunja nyumba za watu kwa jina la NEMC yuko wapi siku hizi?
 
hata kwa jeshi la uhamiaji nao wamedhalilika sana, kazi zao zitakuwa ngumu pia, watu watakuwa hawatoi ushirikiano, kwanza ni askari yupi hapaswi kuwa na uniform anapokuwa kazini? sio kila mtu wakufungulia geti wengine ni majambazi, haya mumemkamata na huko mahabusu hajakaa, sio kila mtaa unaweza peleka makanyagio, haya ya malima yako wapi? unaendesha kesi mtu anateulikwa kuwa RC kijijini kwenu.
Wakienda kwenye kazi za ukaguzi,na ufatiliaji huwa hawafai uniform zaidi ya kitambulisho , wavao ni wale wa kaunta au boda,
 
Back
Top Bottom