Dar: Bilionea Davis Mosha mikononi mwa Polisi kwa kuwashambulia Maofisa wa Uhamiaji; aachiwa kwa dhamana

Hii Story inafanana na ile ya Mmiliki wa Ma Bus ya Zakaria,
Nae hivi hivi walienda jamaa wanaodaiwa kua Usalama, ghafla wakapishana kiswahili na kuanza kukunjana hiv hivi na ilikua nje ya Ofisi ya Zakaria hiv hivi. Labda tofauti tu ni kua Davis Mosha hakuchomoa na "Mguu wa Kuku"
Umenikumbusha katika historia kulikuwa na Mhehe mmoja kwa jina la Mwamwindi yeye alimtwanga mkuu wa mkoa risasi hivihivi
 
QUOTE="Taso, post: 27813317, member: 24152"]Real Estate bilionea wa third world, anapigana barabarani. Huwezi kumkuta real estate bilionea wa New York City, Donald Trump, anapigana na askari mitaani. Kwanza hukutani nae ovyo ovyo mkaanza kugombana kwa sababu ukishakuwa bilionea wewe ni taasisi nyeti, security detail yako haiwezi kukuacha ukapigana pigana njiani.[/QUOTE]Std seven jamani
 
Wivu wivu ndio maana tokea uhuru awamu hii hakuna hata naibu Waziri mchaga
Kwanini unawahusisha wasukuma wote kwenye huo mkumbo?

na pia hao wachaga wana kipi hasa kulinganisha na watanzania wengine kiasi cha wao pekee tu kuonewa wivu?

niambie wachaga wana kipi special?
 
sindio hizo tunazotumia bongo...

maana ukisema bilionea in terms of USD huwa hadi tutajiwe na forbes :D:D:D:D:D:D na wenyewe huwa wanasema TZ wapo wawili tu Mooooo na Uhai
ubilionea wa bongo huwa unachekesha sana... south afrika penyewe kuna mabilionea saba tu pamoja na kwamba USD1= R14, ila huwezi ukakuta wanajipigia kabobo za ubilionea kwa kiwango cha pesa ya nyumbani, sasa bongo mtu akishakuwa na $450k eti anajiita bilionea na wakati kuna watu huo ni mshaara wa wiki.
 
Back
Top Bottom