Dar: Bilionea Davis Mosha mikononi mwa Polisi kwa kuwashambulia Maofisa wa Uhamiaji; aachiwa kwa dhamana

Umenikumbusha kipindi yuko Yanga km M/mwenyekiti ,kulikua na mechi Tanga uwanja wa mkwawani Azam fc na Yanga sc ,azam walikua wanautumia huo uwanja ,akakorofishana na jamaa anaitwa Said Tully akamchapa Kofi ,ugomvi uliamuliwa na Yusuph Bakharesa

Kifupi Mosha ,mkorofi korofi
Mkuu ukorofi unategemeana ukiwa hoe hae utaanzaje kumtukana mtoto wa bakhresa?..mfano tu!
 
Hivi askari siku hizi wamekuwaje ,? Askari kapitia mafunzo utasikia raia mmoja kawanyanganya simu au silaha! Labda mmekengeuka umbile sahili kwa askari! Peleka askari mwenye mazoezi, mrefu kasheheni misuli huko kupigwa kutatokea wapi? Nenda nchi kama wakoloni wetu askari hawabebi silaka ila wale wa airport Na sehemu zingine nyeti. Na askari akikutokea hata huo ujasiri wa kumkwida huna!! Askari lishe chafu Na hakuna mazoezi halafu wafupi!!!!!!!
 
Back
Top Bottom