Dar: Barabara ya Jangwani yafungwa kutokana na mvua zinazoendelea

Ushauri wako wa kuongeza kingo, kuyalazimisha maji yote yapite chini ya daraja itaongeza tatizo kwa watu wote waliopo jirani na bonde pamoja na mikondo yake.
Maji huwa hayazuiliwi bali yanate genezewa njia, tena inayotosha'

Lile daraja pale liko chini sana na njia zake za kupitisha maji hazitoshi kwa wingi wa maji yanayopita pale ndo sababu yanapiata juu ya daraja.
Njia nzuri ni kulinyanyua daraja mpaka usawa wa muhimbili na magomeni pawe tambarare.

Ukiona daraja linahitaji kuzibuliwa, hilo ni calavati tu! mistari4G,

Sent using Redmi Y2
 
Dawa ya Jangwani ni moja tu.
Kuvunja kile kituo cha BRT na kuvunja ile karakana ya DART.

Maji yatakuwa na sehemu kubwa ya kutawanyika hivyo yatapungua kasi na wingi.

Kujenga kingo itakuwa ni hatari zaidi maji yanaweza kulazimisha kupanda kwenda hata kariakoo.@mistari4G,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa simu janja zenyu zinafanya nini hata kama unshindwa kutuweka kapicha ka hapo jangwani,taarifa bila picha inakuwa sio taarifa bali porojo za kitaa.
 
HIYO NDIO HALI YA DARAJA LA MTO MSIMBAZI MJINI DARES-SALAAM LEO LIMEFURIKA KWA MAJI HAPAPITIKI NA KUNA VIONGOZI WA SERIKALI WANAO HUSIKA WAHESHIMIWA MKUU WA MKOA, MBUNGE NA WAZIRI ANAYE HUSIKA WAMEYAFUMBIA MACHO HAYO MAJANGAA YA MAJI, UTAFIKIRI HAWAYAONI MADHARA YANAYO WAKUTA WATU WA MAENEO HAYO NI HATARI SANA KWA USALAMA WAO KIMAISHA.
 
HIYO NDIO HALI YA DARAJA LA MTO MSIMBAZI MJINI DARES-SALAAM LEO LIMEFURIKA KWA MAJI HAPAPITIKI NA KUNA VIONGOZI WA SERIKALI WANAO HUSIKA WAHESHIMIWA MKUU WA MKOA, MBUNGE NA WAZIRI ANAYE HUSIKA WAMEYAFUMBIA MACHO HAYO MAJANGAA YA MAJI, UTAFIKIRI HAWAYAONI MADHARA YANAYO WAKUTA WATU WA MAENEO HAYO NI HATARI SANA KWA USALAMA WAO KIMAISHA.
View attachment 1396435
Serikali ya ccm ilishakataza. Kuzusha mambo kama wale wa arusha
Mbona watu hawaelewi?
 
  • Thanks
Reactions: amu
We mwenyekiti wa serikali ya mtaa wenzio wanasifia awamu hii kwa kujenga miundo mbinu bora kuliko awamu yeyote ile we unaripoti mafuriko na daraja kuzidiwa?
Ngoja akusikie
 
  • Thanks
Reactions: amu
Safi sana Mwenyekiti umeongea ukweli mtupu bila kuweka siasa za kijinga kuwa ishukuriwe ni J2 watoto hawajaenda shule japo shule zenyewe zimefungwa kwa sababu ya Corona ila hatari ni kubwa hatua zichukuliwe kutatua hilo tatizo




Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom