Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 255
Kulea mtoto wa mwanaume mwenzio , aliye hai , tena amekuchapia mke wako ndo mtoto akazaliwa , ungekuwa mwanaume basi asili ya uanaume ingekuonyesha uhalisia wa jambo hili ...Wanaume wa sikuhizi hawana vifua, mioyo yao nyoronyoro
Kwanza hakuwa na uhakika wa analolishuku kwani hakuna vipimo vya DNA vilivyofanyika kuthibitisha hayo.Aisee, wanawake tupunguze kuwabambikia watoto wa wanawake wenzetu vichanga sio vyao. Mmmh huyo baba kakosea sana, kuua viumbe visivyo na hatia. Mungu tusaidie kwa kweli. Maana Hana uhakika kama sio wake. Mtoto si mpaka afanane na baba au mama jamani ndo awe wako
si jambo rahisi kama unavyodhani wanawake ni wabinfsi sanaWanaume wa sikuhizi hawana vifua, mioyo yao nyoronyoro
Ndo mnayoyajua na kuyawaza, ila wanaofanya hivyo kwa ridhaa zao, wauawe??Huyo jamaa muuaji atiwe chupa ya konyagi kubwa kwenye tundu lake la kutolea taka.
Ni mshenzi wa kiwango cha SGR.
Sasa kapima DNA lini? Na hao watoto wote watatu kwanini atake kuwauwa?Kulea mtoto wa mwanaume mwenzio , aliye hai , tena amekuchapia mke wako ndo mtoto akazaliwa , ungekuwa mwanaume basi asili ya uanaume ingekuonyesha uhalisia wa jambo hili ...
Hyo zamani ikibainika hvyo mwanamke alikuwa anauliwa , na hata kwenye bible walikuwa wanapigwa mawe , aiseee usiombe , mtanie leo mme wako kuwa fulan sio mwanao nilichepuka ndo nikamzaa..
Niko pale nasubir majibu
Wabinafsi, Wanapenda kushindana, wanapenda vitu kuliko utu..Na wanawake wa siku hizi hawana huruma pia!!!
Labda aliwaza kuwa hataki wanae wateseke kimaisha baada ya yeye kukamatwa na kufungwa jela kwa kosa la kumuua huyo wa mwisho.Sasa kapima DNA lini? Na hao watoto wote watatu kwanini atake kuwauwa?
Hapa kuna kitu zaidi ya hili lililoandikwa. Tena sasa jamaa alikuwa amewachukuwa na anaishi nao. Pengine ni kichaa au kuna sababu nyingine.Sasa kapima DNA lini? Na hao watoto wote watatu kwanini atake kuwauwa?
Acha blaa blaa mkuu.Huyo mama NAE unaachaje watoto wakalelewe ubabani kwanink asihangike nao watoto wake?!!
Shidaa umjinj mwingi mnooo!!
Asingewaua angemla Tigo huyo dogo mpk awe choko
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app