Mbwa adaiwa kushambulia watu Kinondoni Dar es Salaam

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Mkoani mbwa kichaa anajeruhi mtu mmoja au wawili baada ya hapo dakika 0 mbwa kwishinei,

Nasikitika mbwa kichaa kajeruhi watu 26 na wanaume wapo ni maajabu mengine haya yawakwe Guineas.
---

Mbwa ambaye mmiliki wake hajajulikana amevamia watu katika nyakati tofauti, katika eneo la Msisiri 'B' Kata ya Mwananyamala, Jijini Dar es Salaam, kisha kuwajeruhi watu kwa kuwang'ata.
 
Mbwa kichaa ni hatari
Yule anakuwa amechanganyikia hana utashi wala uelewa
Akikuuma sumu ni kama nyoka koboko wa Mistu ya Tabora

Akikuuma ni kifo

Ukimwona kimbia hata kama kwenu ni Tarime
Nawe ni wa Dar?
 
Back
Top Bottom