Dar: Afungwa maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka tisa

Ndio maana hizi tabia za ushoga kwa vijana wadogo zinashamiri.
Eee Mungu tuepushe na hili janga kwa mabinti na vijana wetu ,amina.
 
hv mengine hua ni akili ya mtu au kunakua na tatizo la ki'ufundi ?

mimi kuna habari zingine hua nikisoma naishia kusikitika tu maana akili yangu inakua haiamini kama ni kweli Binadamu anaweza kufanya kitendo ambacho hata Wanyama hua hawafanyi...

mbona sijawahi kuona Wanyama wakilawitiana sisi Binadamu na akili zetu timamu hua tunakwama wapi ?
 
Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.

Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh. 500,000.

Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi Wilaya ya Temeke mshtakiwa huyo alimlawiti mtoto huyo huku akijua kufanya hivyo ni kosa la kisheria.

Akitoa hukumu hiyo Hakimu Mkazi, Anna Mpessa alisema mahakama hiyo imejiridhisha na ushahidi uliotolewa na mtoto mwenyewe pamoja na vielelezo vilivyotolewa na daktari vikionyesha kuwa mtoto huyo amelawitiwa.

Mpessa alisema katika ushahidi uliotolewa na mtoto mwenyewe ulidai kuwa akiwa maeneo ya nyumbani kwao anacheza mshtakiwa huyo alifika na kumwambia alikuwa anaitwa na mtu aliyetambulika kwa jina moja la Musa ambaye ni mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Chamanzi.

Alisema mtoto huyo aliieleza mahakama hiyo kuwa aliongozana mshtakiwa huyo mpaka kwenye choo cha shule hiyo na alipoingia ndani alifunga mlango kisha akamvua nguo na kummwagia maji mwili mzima baadaye alianza kumlawiti .

Mpessa alisema mtoto huyo alidai baada ya kumfanyia vitendo hivyo mshtakiwa aliondoka na kumwacha hapo chooni na alipofika nyumbani alimweleza dada yake kuhusiana na kitendo hicho ambapo naye alimweleza mama yake..

Alisema kutoka na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka akiwemo mtoto mwenyewe hakuwa na shaka yoyote hivyo mahakama hiyo ilimtia hatiani mshtakiwa huyo.

"Hivyo mahakama hii inakuhukumu kwenda jela maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka tisa na pia unatakiwa umlipe fidia ya kiasi cha Sh 500,000.

Awali Wakili wa Serikali, Eric Shija aliomba kuwa mahakama hiyo itoe adhabu kali Kwa mshtakiwa huyo ili iwe fundisho kwa wengine.

Mwananchi
Kwamba mtaani hakuna wanawake mpaka afikie hatua hii!
Kuna shida hapa
 
Kuna wakati ulizuka mjadala bungeni kuwa itungwe sheria ya kuhasi watu kama hawa, sijui mjadala huo uliishia wapi!

Ilitakiwa kwa mtu kama huyu, ikithibitika bila shaka kwamba alifanya, basi zinang'olewa zote anabakiziwa kikojoleo tu, kisha adhabu zingine ambatanishi kama hiyo fine ndiyo zinafuata.

Wakati akitekeleza adhabu ambatanishi anakuwa tayari keshang'olewa, hana.

Adhabu aina hii ingelimaliza kabisa janga hili,maana kila mwanamme hulinda uanaume wake kwa nidhamu, juhudi na maarifa.
 
Wakati telegram wamejaa madem kibao
Tena wanakuambia kabisa tunapiga miguu
Yote yote !

Ova
 
Mbona malaya wengi tu, tena wengine wanatoa tigo kavu kwa pesa kidogo haizid 8000. Amejitakia kifungo. Akitoka jela aje buguruni mbele 5000, tigo 8000 tena kavukavu ndom akipenda mwenyewe.

Back
Top Bottom