Dar: Afungwa maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka tisa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.

Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh. 500,000.

Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi Wilaya ya Temeke mshtakiwa huyo alimlawiti mtoto huyo huku akijua kufanya hivyo ni kosa la kisheria.

Akitoa hukumu hiyo Hakimu Mkazi, Anna Mpessa alisema mahakama hiyo imejiridhisha na ushahidi uliotolewa na mtoto mwenyewe pamoja na vielelezo vilivyotolewa na daktari vikionyesha kuwa mtoto huyo amelawitiwa.

Mpessa alisema katika ushahidi uliotolewa na mtoto mwenyewe ulidai kuwa akiwa maeneo ya nyumbani kwao anacheza mshtakiwa huyo alifika na kumwambia alikuwa anaitwa na mtu aliyetambulika kwa jina moja la Musa ambaye ni mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Chamanzi.

Alisema mtoto huyo aliieleza mahakama hiyo kuwa aliongozana mshtakiwa huyo mpaka kwenye choo cha shule hiyo na alipoingia ndani alifunga mlango kisha akamvua nguo na kummwagia maji mwili mzima baadaye alianza kumlawiti .

Mpessa alisema mtoto huyo alidai baada ya kumfanyia vitendo hivyo mshtakiwa aliondoka na kumwacha hapo chooni na alipofika nyumbani alimweleza dada yake kuhusiana na kitendo hicho ambapo naye alimweleza mama yake..

Alisema kutoka na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka akiwemo mtoto mwenyewe hakuwa na shaka yoyote hivyo mahakama hiyo ilimtia hatiani mshtakiwa huyo.

"Hivyo mahakama hii inakuhukumu kwenda jela maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka tisa na pia unatakiwa umlipe fidia ya kiasi cha Sh 500,000.

Awali Wakili wa Serikali, Eric Shija aliomba kuwa mahakama hiyo itoe adhabu kali Kwa mshtakiwa huyo ili iwe fundisho kwa wengine.

Mwananchi
 
Hivi hua nikurogwa au?? Yaani wanawake wamejaa kitaa wengi tu,unabaka au kulawiti watoto wadogo kwa sababu zipi sasa?? Kweli hua naumia sana,bora ukanunue huduma hizi huko zinakopatikana
Nakuambia huenda si akili ya kawaida
 
Kama ni utajiri,tuusake taratibu+jitihada na bidii zenye kumpendeza MUNGU

Kama ni wanawake,mbona wengi wanajiuza,na unauziwa upendacho.

Najiuliza,kama ni kisasi
Je,ni kosa gani anakufanyia mtoto wa miaka Tisa,na kwanini ulawiti uwe ni sehemu ya adhabu?

Haya Mambo ni mengi mno nayasikia,kwani Nini kinaikumba Tanzania?ni matokeo na effects za utandawazi ama Nini?

Stori za vijiweni ni nyingi,lakini pindi tukisimuliana na kuhadithiana Kuna wengi si wapembuzi wa Mambo,wanayachukua kama yalivyo na kuyafanyia kazi pasi na kujua madhara yake.

Au ni kurogwa? (hapa sina majibu)

Au ni kusingiziwa? (hapa nakataa kwakuwa haya Mambo nayasikia kila kukicha.

My take,epuka kutoatoa lifti kwa gari yako ama pikipiki,hasa kwa Hawa childhood,iwe He or She utanielewa siku ukiwa kizimbani maana ushahidi wake huwa haupingwi.

But hizi Mambo hazina kanuni,bahati mbaya ikikukuta hakuna namna,tumuombe Sana MUNGU
 
Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa.

Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh. 500,000.

Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi Wilaya ya Temeke mshtakiwa huyo alimlawiti mtoto huyo huku akijua kufanya hivyo ni kosa la kisheria.

Akitoa hukumu hiyo Hakimu Mkazi, Anna Mpessa alisema mahakama hiyo imejiridhisha na ushahidi uliotolewa na mtoto mwenyewe pamoja na vielelezo vilivyotolewa na daktari vikionyesha kuwa mtoto huyo amelawitiwa.

Mpessa alisema katika ushahidi uliotolewa na mtoto mwenyewe ulidai kuwa akiwa maeneo ya nyumbani kwao anacheza mshtakiwa huyo alifika na kumwambia alikuwa anaitwa na mtu aliyetambulika kwa jina moja la Musa ambaye ni mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Chamanzi.

Alisema mtoto huyo aliieleza mahakama hiyo kuwa aliongozana mshtakiwa huyo mpaka kwenye choo cha shule hiyo na alipoingia ndani alifunga mlango kisha akamvua nguo na kummwagia maji mwili mzima baadaye alianza kumlawiti .

Mpessa alisema mtoto huyo alidai baada ya kumfanyia vitendo hivyo mshtakiwa aliondoka na kumwacha hapo chooni na alipofika nyumbani alimweleza dada yake kuhusiana na kitendo hicho ambapo naye alimweleza mama yake..

Alisema kutoka na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka akiwemo mtoto mwenyewe hakuwa na shaka yoyote hivyo mahakama hiyo ilimtia hatiani mshtakiwa huyo.

"Hivyo mahakama hii inakuhukumu kwenda jela maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka tisa na pia unatakiwa umlipe fidia ya kiasi cha Sh 500,000.

Awali Wakili wa Serikali, Eric Shija aliomba kuwa mahakama hiyo itoe adhabu kali Kwa mshtakiwa huyo ili iwe fundisho kwa wengine.

Mwananchi
Dah,ilitakiwa anyongwe mapema kabisa, maana la sivyo anakata rufaa anaachiwa kwa kigezo cha Ushaidi wa daktari
 
Kama ni utajiri,tuusaka taratibu+jitihada na bidii zenye kumpendeza MUNGU

Kama ni wanawake,mbona wengi wanajiuza,na unauziwa upendacho.

Najiuliza,kama ni kisasi
Je,ni kosa gani anakufanyia mtoto wa miaka Tisa,na kwanini ulawiti uwe ni sehemu ya adhabu?

Haya Mambo ni mengi mno nayasikia,kwani Nini kinaikumba Tanzania?ni matokeo na effects za utandawazi ama Nini?

Stori za vijiweni ni nyingi,lakini pindi tukisimuliana na kuhadithiana Kuna wengi si wapembuzi wa Mambo,wanayachukua kama yalivyo na kuyafanyia kazi pasi na kujua madhara yake.

Au ni kurogwa? (hapa sina majibu)

Au ni kusingiziwa? (hapa nakataa kwakuwa haya Mambo nayasikia kila kukicha.

My take,epuka kutoatoa lifti kwa gari yako ama pikipiki,hasa kwa Hawa childhood,iwe He or She utanielewa siku ukiwa kizimbani maana ushahidi wake huwa haupingwi.

But hizi Mambo hazina kanuni,bahati mbaya ikikukuta hakuna namna,tumuombe Sana MUNGU
Umenena kwa muchungu yasiyosimulika sawa na Mzazi wa huyo Mtoto.

Naomba kila asomaye hapa ajisemee rohoni "Ee Mungu tunusuru na laana za hiki kizazi"
 
Kama ni utajiri,tuusake taratibu+jitihada na bidii zenye kumpendeza MUNGU

Kama ni wanawake,mbona wengi wanajiuza,na unauziwa upendacho.

Najiuliza,kama ni kisasi
Je,ni kosa gani anakufanyia mtoto wa miaka Tisa,na kwanini ulawiti uwe ni sehemu ya adhabu?

Haya Mambo ni mengi mno nayasikia,kwani Nini kinaikumba Tanzania?ni matokeo na effects za utandawazi ama Nini?

Stori za vijiweni ni nyingi,lakini pindi tukisimuliana na kuhadithiana Kuna wengi si wapembuzi wa Mambo,wanayachukua kama yalivyo na kuyafanyia kazi pasi na kujua madhara yake.

Au ni kurogwa? (hapa sina majibu)

Au ni kusingiziwa? (hapa nakataa kwakuwa haya Mambo nayasikia kila kukicha.

My take,epuka kutoatoa lifti kwa gari yako ama pikipiki,hasa kwa Hawa childhood,iwe He or She utanielewa siku ukiwa kizimbani maana ushahidi wake huwa haupingwi.

But hizi Mambo hazina kanuni,bahati mbaya ikikukuta hakuna namna,tumuombe Sana MUNGU
hiyo ya kutoa lift nishasikia, na wazazi ndio huwa wanasuka mchezo mzima ili wakutoe hela na sometimes mtoto mwenyewe kashaharibikiwa,

wazazi wakijua wanaweza kumbana ili aseme. Sasa dogo kuwalinda watu wanaomfanyia aidha kwa kuogopa vitisho vya vifo au tu na yeye kunogewa na hiyo michezo. Anaweza kumtaja mtu yoyote na kama wewe ndo wa kupenda kumpa lift ni nani ambaye hatoamini ukitajwa ??

wenye magari na pikipiki kuweni makini maana sisi wa kwenye daladala hatuna maficho wala kumlipia mtu nauli
 
Back
Top Bottom