Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
kumbe bado kuna uchaguzi wa madiwani hadi leo.............................just considering the weight of lies and the carats of fabrications be4 me............
Mkuu wangu, kunywa maji kwanza upunguze munkali then ndio ujipange vizuri kuandika thread yako!
Unavyomuelezea huyo Daniel Porokwa unadhani wote tunamjua