Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Kwani hizo nchi za Kiafrika zenye Katiba ambazo si za chama kimoja i.e. zinakubaliwa na vyama vya upinzani walizipataje? Mwenyezi Mungu alishuka kuja kuwasaidia au Yesu na Mtume SAW walirudi kuja kuwasaidia? Kwanini katiba mpya ipatikane kwa kumwaga damu wakati ni kipaumbele cha Watanzania wengi na hata wale ambao waliwahi kushika nyadhifa kubwa ndani ya Serikali kama Warioba, Butiku etc?
Kama huna cha maana cha kuandika pita kimya kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.


Mnapolaumu basi angalau muonyeshe ufumbuzi ukoje. Sawa kunahitajika Katiba mpya. Mtueleze ITAPATIKANAJE? Mtaisubiri kama zawadi au mtaidai?
 
Hayo ni maneno ya kuwapooza team dictator na Ile gang. Ila matendo ndiyo kama hivi. Mpaka CC utaons mambo huko. Tusubiri matokeo. Nina imani kubwa na mama. Tumpe muda Mkuu.
Mama atuondolee hawa team dictator maana wamejaa sumu zaidi ya cobra.
Bado wanaota ukatili dhidi yetu utadhani sisi watanzania ni maadui zao.
Wanashangilia sana akitokea kiongozi anayeongea kikatili kama mpango.
Jafo amejirekebisha lakini prof majalala, pm na vp ni matoxic sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna mambo mengine ni sensitive sana kuyasemea haraka. Ataenda nayo taratibu akishapata uongozi wake wa Chama. Serikali tayari japo najua bado ataingia maeneo. Tumpe muda tuone. Hao Covid19 najua suluhu itapatikana na kuna dalili wataunga juhudi.
COVID 19 hawawezi kuunga juhudi. Pamoja na kwamba mpaka sasa hawana sifa ya kuwa wabunge, wakiunga juhudi wanakosa sifa za kuwa wabunge
 
DANIEL GODFREY CHONGOLO Alikuwa Makao Makuu ya Chama Enzi Ya Akina Nape, Chongolo alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kwa Umma kilichokuwa chini ya idara ya Sera na Uenezi(Kitengo cha Propaganda).
Kabla ya hapo alikuwa mhariri gazeti la uhuru
 
kuhusu elimu sijui ila najua alikuwa mkuu wa usalama wa wilaya. Kutoka hapo ndio zikafuata hizi teuzi.

Ni mtu wa kazi bila vyombo vya habari, ni mtu serious kweli na kazi.

Ila huyu bwana amelelewa humo humo ndani. Baba yake alikuwa kipenyo mkubwa tu.

Ni mtu wa kawaida sana nje ya kazi nafahamiana nae
 
Yaani Mama wa Watu ( Mheshimiwa Sana ) amrudishe Madarakani Mtu ambaye alimhatarishia Nafasi yake ndani ya miaka Mitano iliyopita kwa Kumfitinisha na Kumchongea kwa Bosi wake Mkuu Mtukutu, Mkurupukaji na mwenye Visasi vingi?

Nitamdharau mno Mama ( Mheshimiwa Sana ) nikisikia amemteua huyu 'Intarahamwe' wa Kanda ya Ziwa katika Nafasi yoyote ile kwani kwa zile 'dossiers' zake zilizopo Idara Nyeti ni Mtu Hatari mno kwa Ustawi mzima wa Amani ya Tanzania yetu hii.
Acha chuki wewe, kanda ya ziwa ndiyo kanda ya maamuzi ya mstabari wa nchi, unaionaona tu kirahisi rahisi chunga sana
 
Back
Top Bottom