mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Mtazame hapa dancer mpya wa WCB akionyesha ujuzi. Anamfunika mpaka Moseiyobo.
Huyu kijana ni hatari.
Mtazame hapa dancer mpya wa WCB akionyesha ujuzi. Anamfunika mpaka Moseiyobo.
Huyu kijana ni hatari.
leo naona umekua watatuMzee wa first to reply.
Haha niseme pole?Mbio nime play video nimuone nimeishia kucheka
Hehe na kweliiFresh blood ni nzur kuleta changamoto mpya
Mauno kutoka dubaiha haaa..mauno yake si ya nchi hii
kila awamu upoKawaida tu mkuu