Damu ya mtu hunuka

Mkuu Mshana, kumbe ndio maana naona kuna watu ongea yao kwa sasa hadi wanashangaza! wanaweweseka na matamko ya hovyo inawezekana ni damu nini!
 
Na waliomuua Akwelina
 
Hii kitu ya serial killers nimeona makala kwenye dstv channel inaitwaje ( cjui nimesahau ) sababu ni kama hizo niliokua naangalia Mimi jamaa alikua anaua wanawake/mabinti kisha anabaka maiti
 
Nilisoma na kuona nadhani ni clouds TV Dogo alitoka akawa anaelezea jinsi alivyobadilika na vile alipokelewa magereza watoto wenzake walivyokua wanamwogopa


Kuna point moja Dogo alitoa alipo ulizwa maisha yake kabla hajakamatwa na ule msala Dogo akasema kuna siku mama ake alikua anapika mboga sasa mama ake akamwambia nenda kaangalie mboga jikoni Dogo anasema ile kufunua mfuniko wa sufuria akautana na mikono ya watu akaita mama mbona kuna mikono ya watu mama ake asema we nae unaona nini angalia tena Dogo kuangalia tena akaona ni nyama ya kawaida.


Ila yote kwa yote lawama zake alikua anazielekeza kwa mama ake
 
Anakua tu hajapatikana ndo vile watu tunaskiaga matukio ya watu kuuwawa ila muuaji hajakamatwa ila vifo vinakua na hali flani ya mfanano mfano wote wamekatwa katwa

Ila baadae anapokamakwa maelezo yake ndo yanatoa majibu kuwa huyu ni mtu wa namna gani
Shukrani mkuu...
Hasa akiua hakamatwi na kufungwa au inakuaje mpaka inajirudia hiyo interval
 
Wkt naenda operesheni Dr msaidizi aliniambia haya Sasa ngoja tukapasue tumbo.
Nikamuuliza Mbona unanitisha ss unajua naweza hairisha.
Nae damu imemdhuru nn?
 
Wkt naenda operesheni Dr msaidizi aliniambia haya Sasa ngoja tukapasue tumbo.
Nikamuuliza Mbona unanitisha ss unajua naweza hairisha.
Nae damu imemdhuru nn?
Hapana bali kuiona kila siku nako hufanya ajili I crack kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…