Damu ya mtu hunuka

Nimekuelewa mkuu.. Hata Damu ya Ben kuna watu inawanukia, wanatamani kuua tena na tena.
 
mshana mi nilishawahi kugonga mtu pale babati njia ya kwenda singida baada ya lile bwawa kuna kamuinuko flani hv ilikua 2012 mida ya saa moja jioni watu wamejaza pembeni ya barabra kuna kama kisenta hv wanauza uza vitu,mlevi akajichomeka katikat ya barabara nikawaza nikimkwepa naua makumi,so nikafanya busara nikapita nae,akafa palepale,watu walinisifu sana na sikuumia moyoni kaisa nilikua normal hadi leo sijuti kuua ila nafurahi niliokoa watu wa pembeni na waliomo kwenye gari.
 
Kina Dr Harold Shipman wapo wengi
 
Well said! Mola tuongoze!
 
Kwa vile mwanadamu aliumbwa kwa mfano wake Mungu mwenyewe yeyote amuuwaye mwanadamu damu yake itamsumbua kwa kumlilia mpk pale atakapotubu. La sivyo atajikuta anakufa kihoro
 
Bora hao ma serial killer kwenye hii thread ni wanaume ingekuwa ni wanawake comments zingekuwa zaidi ya 1000 watu wakitukana wanawake ni wabaya na wana roho mbaya sana na ni wakatili. Sisemi kuwa hakuna ma serial killer wanawake hawapo LA wapo sana ila jamii inapenda kumtukana sana mwanamke anapokosea kana ya kwamba wengine ni malaika
 
Mshana naomba tuu eje uokoke ili utuhadithie vizuri majanga yote unayoyajua nna imani kutafurika nyuzi mpya za kwako tuu
 
Hebu tupen kidog alikumbwa na maswahibu gan huyo ram
 
kafa na pombe zake.... Kuna pombe za laana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…