Damu ya mtu haiendi bure lazima itakutafuta tu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
330
Reaction score
1,244
Daniel Edri 24 ambae alikuwa ni mwanajeshi wa Israel amejiua kwa kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake kutokana na kusumbuliwa na msongo wa mawazo baada ya kurejea nchini Israel akitokea vitani Gaza

Mama yake na Daniel amesema mwanae amekuwa akisumbuliwa sana na matukio aliyoyaona akiwa vitani, na kamwambia mama yake kuwa anasikia harufu kali za maiti na ameichoka hali hio

Daniel pia alipigana nchini Lebanon
1000106171.jpg
 
''Damu ya mtu haiendi bure"
Kwa walichowafanyia wakoloni kwa mababu zetu mpaka muda huu mataifa yao yangekuwa yashalaanika.
Lakini ndo kwanza wanadevelop.
Sasa wakoloni si ndio walikuja na hizi hoja za damu ya mtu wakituweka sisi kundi moja na wao kundi jingine?
Wao wakiua damu haina neno ila wewe ukiua damu inakuwa na namna ya aina ya kukuvizia
 
Daniel Edri 24 ambae alikuwa ni mwanajeshi wa Israel amejiua kwa kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake kutokana na kusumbuliwa na msongo wa mawazo baada ya kurejea nchini Israel akitokea vitani Gaza

Mama yake na Daniel amesema mwanae amekuwa akisumbuliwa sana na matukio aliyoyaona akiwa vitani, na kamwambia mama yake kuwa anasikia harufu kali za maiti na ameichoka hali hio

Daniel pia alipigana nchini LebanonView attachment 3396555
Kweli.kabisa
Screenshot_20250705-204907.png
 
Ni kama yuko Mfindi hapo
 
(6,794) Damu ya mtu hunuka | JamiiForums Damu ya mtu hunuka
 
So mbona USA wameua watu kibao na Bado maraisi wao wanapeta tu ,

Mfano Obama kamuua gadafi , Bush kamuua Saddam Hussein , Trump alimuua general qassem wa Iran achilia mbali watu walio waua ktk vita ya Vietnam and the likes na Bado maraisi wa USA tumewaona wanapeta tu .

Mimi nadhani huo msemo Huwa una fanya kazi Kwa watu ambao ni masikini na wale ambao wasio na power
 
Wao hawahusiki kabisa na wanapiga na kunyonga na bado wapo fresh tu. Gadaffi si Wali mu-eliminate na alikuwa na damu mbona haijamfuata Obama?
Kuna mambo ukiyatizama unasema hapa tumepigwa.
Hebu cheki kuna amri kumi za taurati mojawapo inasema USIUE
Ajabu wao kila siku ndo wanatengeneza makombora lengo kuua watu 🤣🤣
 
Hi kanuni I hope sio universal, doesn't apply everywhere in the world. Waarabu wametesa Watanganyika wenzetu na waliochukuliwa kwenda utumwani kule kwao waliwa castrate ili wasizae but look at them now, ni matajiri; Wazungu same thing, wamefanya kila aina ya uasi na uuaji Africa but ndio wanao lead this world, kule Argentina, no black people there like Brazil, Mexico, Jamaica and other countries in South America, je damu za our fellow blacks zinawanukia? This only apply to the poor countries, hata hi ya Israel I don't think kama kifo hiki kinatokana na hu msemo, ni huruma zake tu.
 
Siumeona karma ilimchapa Mara moja yule jamaa aliyetaka kumuua Lissu akauliwa yeye tena kizembe kabisa

Umesema aliuliwa? Huyu muuaji nae nae kapata adhabu gani? Si bado anadunda tu.
Anyway, ni vile vile ninavyo sema, ina apply only kwa masikini; wenye fedha haiwahusu hi kaka.
 
''Damu ya mtu haiendi bure"
Kwa walichowafanyia wakoloni kwa mababu zetu mpaka muda huu mataifa yao yangekuwa yashalaanika.
Lakini ndo kwanza wanadevelop.
Dua la kuku au sio,mtu ana mazonge yake wanasingizia mambo sijui ya damu,🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom