BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,572
- 9,477
Basi bana ukitumia dawa za miti shamba yetu unaambiwa wewe mshirikina.Hi kanuni I hope sio universal, doesn't apply everywhere in the world. Waarabu wametesa Watanganyika wenzetu na waliochukuliwa kwenda utumwani kule kwao waliwa castrate ili wasizae but look at them now, ni matajiri; Wazungu same thing, wamefanya kila aina ya uasi na uuaji Africa but ndio wanao lead this world, kule Argentina, no black people there like Brazil, Mexico, Jamaica and other countries in South America, je damu za our fellow blacks zinawanukia? This only apply to the poor countries, hata hi ya Israel I don't think kama kifo hiki kinatokana na hu msemo, ni huruma zake tu.
Ajabu inaletwa za mitishamba ile ile unaambiwa imetoka china sijui ufilipino hizo ndo sio ushirikina.
Unawa mpaka unasema yaani hawa jamaa wanavosema waafrika ni nyani ni sahihi kabisa.