Damu ya hedhi na ibada za kiimani

Mkuu Tuliza mshono hiyo science yako imeshindwa kuthibitishwa uwepo wa Mungu na Roho mtakatifu unayesema ana effect kwenye Maisha.

Acha kurely kwenye science ambayo inapinga kile ulichokitetea.
 
Mkuu mshana Mimi kuna jamaa angu alinambia hii n dawa ya limbwata kama mkeo kakupa limbwata ukinywa Damu yake ya hedhi unatapika uchawi wote.

Sasa kumbe n SUMU au sometimes inaweza kuwa dawa na muda mwingine SUMU?
Kuna wakati sumu pia ni tiba na kuna wakati sumu pia ni sumu ila habari za waganga wa ni kuwa nazo makini sana
 
Na wewe hiyo kitu umeshawahi kuionja Mshana nini? Dah.

Kule Uingereza mabinti wanafugwa kwa ajili ya damu zao za hedhi.Huwezi amini.
 
Na wewe hiyo kitu umeshawahi kuionja Mshana nini? Dah.

Kule Uingereza mabinti wanafugwa kwa ajili ya damu zao za hedhi.Huwezi amini.
Kwakweli siwezi kusema ndio ama la kwakuwa sometimes tnalishwa vitu vya ajabu tena na watu wetu wa karibu kabisa tunaowaamini hasa
 
[emoji1] [emoji1]
Mkuu Inasemekana Warusi
walichelewa sana kukubaliana na mambo ya hizi IMANI lkn mwisho wa siku wakaelewa hizi mambo
anazoongelea Mshana hazihusiani na Sayansi ni vitu tofauti na vyakukariri Darasani
 
Kutokuamini kwamba hakuna hayo mambo haimaanishi guapo ndugu
 
Hapa ndio unapochanganya mambo unawezaje Kuamini
Uwepo wa ROHO MTAKATIFU then upinge kutokuwepo wa Roho chafu
 
Mkuu Tuliza mshono hiyo science yako imeshindwa kuthibitishwa uwepo wa Mungu na Roho mtakatifu unayesema ana effect kwenye Maisha.

Acha kurely kwenye science ambayo inapinga kile ulichokitetea.
We jamaa ni jiniasi aisee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] . Huyu jamaa anataka kuchukua vipande vipande anavyoona vinamnufaisha kutoka kila upande. Anataka kutuaminisha kuna roho mtakatifu bila ushahidi wa kisayansi halafu hapohapo anataka kupinga ulimwengu wa giza kwa kutumia sayansi.

Kwa kweli inabidi achague upande mmoja akomae nao, vinginevyo anakuwa kama hajielewi.
 
Usiombe mwanaume uchanganyiwe damu ya hedhi + .......(mti) ktk supu na huyo mpenzi wako...utakuwa km mjusi kafiri ktk kona ya nyumba
 
Watu Wengine ni wa kuchukuliana nao wamewaamini wazungu kupitiliza hapa anampinga mshana Jr simply because anaamini kuwa haya ayasemayo Mkuu n elimu ya ngozi nyeusi
 
Ndo maana ,utaweza ona pedi kibao used njia panda#kumbe mambo ndiyo haya
 


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…