Dalili zipi za mtu aliyechepuka?

Dalili zipi za mtu aliyechepuka?

Daaaa bora kuwa mwenyewe maaana duuu wake za watu wanagongwa ni noma mpaka huwa najiuliza ni nini kimeikumba dunia hii ya sasa.
 
Mm nilikua nazingatia tightness ya papuch na kunasiku niligombana na mtu wangu mara baada ya kugundua nanii imekua lose wakati hatukukutana kwa muda ......but nahisi hicho siyo kigezo tosha ....
mkuu huyu wa loose ni tofauti na yule wa mapenzi ya msimu?
 
Huwaga vidole vya mguuni vinakatika na nyele za katikati kunyofoka

Meno ya mbele hung'oka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom