Dalili zipi za mtu aliyechepuka?

Dalili zipi za mtu aliyechepuka?

Mkuu huyu mke wangu tumetoka nae mbali sana, so nashindwa kumuacha.
Mbali mbinguni au wapi wacha ujinga akupendi huyo angekupenda angekubali kucheki afya yake yupo kukutumia tu ha ha ha ha ha mbavu zangu na pua inakuwa ya kijani
?
 
If it is so dry... lakini inategemea na hali yake ya kawaida ikoje. But sio vizuri kujua hasa kama unampenda
 
Yaani wewe ni mtu wa ajabu sana.unaanzaje kutafuta tiba badala ya kutafuta kinga kwanza.
 
Anaanza kujijali haswa akijisahau akaongelea mambo ya kuvutia wakati upo nae alikuwa hafanyi labda kwa muda mrefu au miaka.

Anaanza kujiona apendeze kila anapotoka bila kujali kaenda sokoni kariakoo au kaenda mlimani city au Hyatt etc...

Anaongea sana na rafiki zake na kucheka na kuwa na furaha maongezi ambayo hata usikii akitaja jina la mtu au kaka na dada kwa wingi

Rafiki mmoja anayeongea nae sana ndie anajua kinachoendelea, yaani shostisho au nduguye ambaye unaona hawana mazoea ya kuongea

Ananunua viti alikuwa hana kukuvutia wewe, sasa inabidi anunue kumvutia huyo mwenza mpya

Usicheze na wanawake wana maarifa sana, unaweza gundua akakubadili mawazo na maneno swafiiii ukaishia kukaa tena kama mburulaz tu anakuchekea kwa kisogo.

Vizia tu simu akiiweka chini kabla hajaijifunga toka nje kasake bila hivyo unalo, ingia kwenye gari kapekue uwezavyo.

Ila ungesena umeona nini na unauliza ili tukusaidie kaka.

Na weye unachepuka au umetulia?
 
Mzee wakwako hachepuki?kama hachepuki unajuaje kama hachepuki...wakati mwingine watu wetu wanachepuka bila kufahamu ndo mana tumeweka uzi huu ili tushare ideas za kugundua kwa uraisi...ujuzi wako siyo sawa na wangu au wa mwingine....
 
Anaweza kuongrza uchangamfu kupita awali, atajifanya anakupenda na kukujali sana ili hali siyo kawaida yake au kufanya kinyume na hivyo na yote haya nikukupumbaza tu akili

Atafanya vitu ambavyo awali alikuwa havifanyi kama kukulisha,kukuletea zawadi,kuogeshwa au kuoga wote au asivifanye kabisa,,,,

Kubwa kabisa atakujali sana kwa kujua ulipo na unachofanya na muda wako wa kurudi nyumbani ,, pia usiri uliopitiliza katika simu yake ie kuwa silent muda wote au kufichwa kila mara au kutembea nayo ata kama anaoga au anapika
 
Anaanza kujijali haswa akijisahau akaongelea mambo ya kuvutia wakati upo nae alikuwa hafanyi labda kwa muda mrefu au miaka.

Anaanza kujiona apendeze kila anapotoka bila kujali kaenda sokoni kariakoo au kaenda mlimani city au Hyatt etc...

Anaongea sana na rafiki zake na kucheka na kuwa na furaha maongezi ambayo hata usikii akitaja jina la mtu au kaka na dada kwa wingi

Rafiki mmoja anayeongea nae sana ndie anajua kinachoendelea, yaani shostisho au nduguye ambaye unaona hawana mazoea ya kuongea

Ananunua viti alikuwa hana kukuvutia wewe, sasa inabidi anunue kumvutia huyo mwenza mpya

Usicheze na wanawake wana maarifa sana, unaweza gundua akakubadili mawazo na maneno swafiiii ukaishia kukaa tena kama mburulaz tu anakuchekea kwa kisogo.

Vizia tu simu akiiweka chini kabla hajaijifunga toka nje kasake bila hivyo unalo, ingia kwenye gari kapekue uwezavyo.

Ila ungesena umeona nini na unauliza ili tukusaidie kaka.

Na weye unachepuka au umetulia?
Naongelea aliyetoka kugegedwa au kugegeda
 
Anaweza kuongrza uchangamfu kupita awali, atajifanya anakupenda na kukujali sana ili hali siyo kawaida yake au kufanya kinyume na hivyo na yote haya nikukupumbaza tu akili

Atafanya vitu ambavyo awali alikuwa havifanyi kama kukulisha,kukuletea zawadi,kuogeshwa au kuoga wote au asivifanye kabisa,,,,

Kubwa kabisa atakujali sana kwa kujua ulipo na unachofanya na muda wako wa kurudi nyumbani ,, pia usiri uliopitiliza katika simu yake ie kuwa silent muda wote au kufichwa kila mara au kutembea nayo ata kama anaoga au anapika
Mwangaza unanza kuja
 
Naongelea aliyetoka kugegedwa au kugegeda

Kwa unavyotaka utasubiri sana wewe na kwa wengine.

Unaweza ukawa msibani, sherehe akatendwa na upo hapo, JE utafahamu katenda?

Haya subiri wakujibu wataalamu, kumbuka kinga ni...
 
Hivi wachepukaji ni wadada tuuuh? Kila comments zinawalenga wanawake kwanini siyi siye mijidume pia??
 
Kwa wajuzi wa mambo....hv unawezaje kumgundua mpenzi aliyetoka kuchepuka!!!
Najua wengi tutajifunza hapa...na lengo hasa ni kupeana uzoefu na kupeana mbinu mbadala za kukabiliana na wachepukaji coz michepuko ni janga kuu ...
Utamkuta yupo kwa mchepuko
 
Kwanza mwanamke akirudi home kama ashachinjwa.
1. Atakuwa anaongea sana,
2. Hataki kukaa karibu na wewe.
3. Mara nyingi akiingia ndani brek ya kwanza bafuni, hata kama alishaoga huko, kuondoa harufu ya sabuni ya gest. Kisha nguo alova siku hiyo zinalowekwa fasta.
3. Siku hiyo ataenda kulala mapema akidai hajisikii vizuri, ili kuepudha kuombwa gemu na yeye kifanyio kisha choshwa hoi.

Kama demu wako amekubuhu, hata akitoka kutiwa dakika kumi zilizopita hutagundua asilani.
 
Hivi wachepukaji ni wadada tuuuh? Kila comments zinawalenga wanawake kwanini siyi siye mijidume pia??
SoMa vizuri uzi utaelewa....kama unazijua dalili za mwanaume aliyetoka kugegeda tuambie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom