Mpole sana
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 527
- 110
Yallah Mungu tunusuru.
Napenda san mwanaume black aliye komaa, halafu mwembamba yani wako so sexy kama huyu hapo.
Yallah Mungu tunusuru.
Naaam nimeshakaribiaa bibiee, supu ya pweza ipo tayari?Karibu sana.
Hebu nipm mawasiliano yako maana nami nipo hivyo hivyo.Napenda san mwanaume black aliye komaa, halafu mwembamba yani wako so sexy kama huyu hapo.
Pia kuweka avatar za kuchapwa mattakoni
Wanaume mkikaa gheto moja hivyo vitu kujuana ni suala la kawaida na jamaa alikuwa ndo sifa yake hadi chuoni watu wanamjuaHiyo mashine kubwa wewe uliiona wapi? au mlikuwa mnaonyeshana?. Nina mashaka na kauli hiyo.
Mchizi kumpata ni ngumu ni bonge la traveller hatulii sehem moja leo kaenda kwa mkaburu kesho msumbiji yaan hasomeki ningekupa akutafute mfurahishane kidogoMmh ,mmmh kwa maelezo yako na wasi wasi naye , kwa kuanza kutu rusha roho ya uandsome wako, halafu kwanini jamani una sema huyo rafiki yako n amashinde kubwa/ wengine ndio ugonjwa wetu, ona sasa ulivyo fanya umeshanipa shida ya kumwaza huyo rafiki yako, yuko wapi je unaweza nipa number yake?
Hivi tigo ndio nini?
Mchizi kumpata ni ngumu ni bonge la traveller hatulii sehem moja leo kaenda kwa mkaburu kesho msumbiji yaan hasomeki ningekupa akutafute mfurahishane kidogo
Tulia wewe kwani si kazungumzia mashogaNaona Mashoga wameshavamia Thread. Asubuhi imeshaingia nuksi
Dalili za ushoga ni nyingi
mno km
1. Kutia kalikiti kichwani
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo
4. Kutoboa pua/sikio
5. Kupaka lip shine
6. Kuvaa nguo za kuacha mattako nje
7.Umbea
8.Kupigana vijembe
9.Kupenda taarabu
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti
11.Endeleza.......
Ni ipi kati ya hizi uko nayo?
Wanaume mkikaa gheto moja hivyo vitu kujuana ni suala la kawaida na jamaa alikuwa ndo sifa yake hadi chuoni watu wanamjua
Kabisa , dalili za ushoga ni kujisikia rufaha, raha , amani kuwa karibu na mwanaume wenzako au mtu wa jinsia yako, , hayo ya kuvaa , kujipamba na kutoga masikio sio ya lazima.Inabidi utofautishe maana ya DALILI na MUATHIRIKA(MGONJWA).
Dalili
Hizi zinaashiria kuja kwa tukio fulani(e.g mvua, malaria etc)
Ugonjwa/Mgonjwa
Huyu tayari ameshaathirika
Ulizoandika sidhani kama ni dalili haswa za ushoga. Naweza kusema dalili za ushoga ni kupenda kulawitiwa!! Ukijisikia unapenda kulawitiwa TU, fahamu tayari ushoga unanukia.
Ulizoweka hapo ni baada ya kuwa shoga sasa. ILA umbea aisee kama ni kweli basi wanaume karibu wote ni MASHOGA lol!!!
Naaam nimeshakaribiaa bibiee, supu ya pweza ipo tayari?
Kupenda dezo
:nod::nod::A S thumbs_up: Kweli kabisa ............ hapo kwenye red ............... utamwaona mwanaume MZIMA anaomba omba hela kwa wadada ......... anunuliwe lunch............anunuliwe juice ............ anunuliwe icecream ..'Oh hizi nazipendaga kweli" ... na eti huyo anajiona GENTLEMAN ........... kweli hizo ni DALILI TOSHA KUWA HILO DUME NI SHOGA.