Dalili za mwanamke anayekupenda

Dalili za mwanamke anayekupenda

Anadenguaaaa, eti hadi nimbembeleze, huo muda wa kukaa nabembelezana nae nautoa wapi mimi!!!
Sasa wewe unafikiri pesa zitatoka kiurahisi bila kuongea sauti ya kubana pua....

Mimi ningekupa sema nitaingilia majukumu ya mtu tu.
 
Sasa wewe unafikiri pesa zitatoka kiurahisi bila kuongea sauti ya kubana pua....

Mimi ningekupa sema nitaingilia majukumu ya mtu tu.
Ni majukumu yako hayo ujue!

Ndio nishachoka kumbembeleza, simbembelezi tena. Akijisikia atume asipojisikia pia poa tu.
 
Inategemea NTU na NTU

May Allah bless Me and You
 
Ni majukumu yako hayo ujue!

Ndio nishachoka kumbembeleza, simbembelezi tena. Akijisikia atume asipojisikia pia poa tu.
Teh
Nimekuelewa saana hadi nimeona aibu basi nitatuma japo mimi haujawahi kunibembeleza
 
Kwahiyo unataka kuniambia huyu jimama ananipenda !
 
Back
Top Bottom