You made my day!Ukimtumia hela atakuambia mbona hujatuma ya kutolea!
Hapana sijamaanisha kuwa yalitokea kwangu ila najua kuwa zamani / miaka ya nyuma mabinti walikuwa wanapenda kwa kuonesha hizo elements na walikuwa wanapenda KWELI.Inamaana sana hampendani?
Basi tuu, wengine wanakupenda ila watajitaftia kiki kwa kujidai hawakuoni wala hawana time nawewe. Akipata shida ndio utajua kama anakujua na amekulike.Mkuu fafanua hii
DJ sepetu
Hata sasa wapo, ila ni ninyi ninyi mnawavuruga hadi wanakuwa hivyo walivyo sasa.Hapana sijamaanisha kuwa yalitokea kwangu ila najua kuwa zamani / miaka ya nyuma mabinti walikuwa wanapenda kwa kuonesha hizo elements na walikuwa wanapenda KWELI.
Kwanza hakuna mtu anajua kumuumiza mtu kama wewe, Mungu anakuona.Hata sasa wapo, ila ni ninyi ninyi mnawavuruga hadi wanakuwa hivyo walivyo sasa.
Kupenda ni jukumu/agizo lenu,tafuta kuheshimiwa tu.
Ohooooo!! Nimemuumiza nani tena!!Kwanza hakuna mtu anajua kumuumiza mtu kama wewe, Mungu anakuona.

Hata sasa wapo, ila ni ninyi ninyi mnawavuruga hadi wanakuwa hivyo walivyo sasa.
Kupenda ni jukumu/agizo lenu,tafuta kuheshimiwa tu.