Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,093
1. Hutumia muda mwingi kujiremba kujipaka vipodozi.
2. Ni mzito sana katika shughuli za kujishughulisha au hata kujifanyia usafi hata nyumba aishiyo.
3. Hupenda kulala mchana huku akiwa mkali katika kutoa maelekezo kwa housegirl wake.
4. Huwa katika Facebook na mitandao mingine kwa muda mrefu.
5. Hupenda mambo ya hali ya juu yamfikie kimiujiza bila kujishughulisha.
6. Simu yake kuigusa ni lazima pachimbike japo ni mkeo.
WADAU TWAWEZA ZIENDELEZA ZAIDI.