ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,637
mawasiliano yanapungua,anakuwa na kiburi na ukali, majibu ya mkato mkato tu, mgegedo unakuwa unatolewa kwa ratiba au unatumia nguvu sana kuuomba na bado kuna kupewa au kunyimwa, ukimuudhi kidogo full gubu, anakuona kama mengineyo tu uwepo usiwepo sawa hapo thamani ishashuka tayari, ubize ambao haukuwahi kuwepo utatokea n.k n.k
vipi umekaribia kuachwa???
huu ni ukweli asilimia mia moja