Dalili ya mvua ni mawingu

Dalili ya mvua ni mawingu

Tayari! One can precisely guess the outcome.

Hawezi kuandika ukweli au uongo aliousikia.

Naishia hapa
Sasa ndio maana wakamwingiza chaka mapema kwa sababu walishajua kuna siku 130 za kukaa huko na huku walihofia jamaa atakichafua sanaaa
 
Ila hata hao waliopatikana si mbaya haswa aijipii na mkuu wa bakabaka...

Hawa waulizwe kama ifuatavyo

Aijipii, "Ilikuaje vikosi vyako vilikuwa barabarani na mitaani vikimimina risasi kwa raia ambao hawakuwa na silaha za moto?" (Ikumbukwe watuhumiwa walipelekwa mahakamani na wote waliachiwa huru, hakukuwa na vielelezo vya silaha za moto katika kesi zao).

Mkuu wa bakabaka, "Ilikuaje aliingiza jeshi mtaani wakati si jukumu la jeshi la ulinzi (mipaka na matishio ya ugaidi) kutembea na vifaru mtaani kwenye nchi yenye jeshi la kutuliza ghasia?"
 
Njoo nikuuzie jeneza used kwa bei ndogo ili ukifa usiwasumbue ndugu zako kuchanga hela ya jeneza
Muislami anazikwa na jeneza? Takataka kujipa majina mabaya yatakurudia, we subiri siku moja au mbili zijazo utakuwa kwenye jeneza 😀😃😄😁😆😅😂 utani usiogope
 
Dahh, ii codes mnaelewa vipi wenzetu
Kukataa ushahidi....kuna ashiria nini? Suppose angelikuja s100 akasema mimi huyu hawezi kunipindua na serikali yangu namuamini...halafu Judge unasema hawa sikubali wawe mashahidi...

Kama hutaki aje physically, basi video conference!
 
Hivi kweli kuna mwanaCCM humu anaelewa hizi codes. Maana jamaa ni watupu balaa. Hata wenye degree hawajui chochote, nadhani walionga maana ndicho kitu wanachokijua
 
Mimi nauliza, hivi Lissu anapomtaka rais, Makamu na Waziri Mkuu katika kesi ambayo maneno alotamka yeye ndio kiini cha kesi hii, kunahusikaje?

1. Atawauliza walisoma wapi na vyeo walivyopitia?
2. Wamepataje kazi hizo n.k au
3. Walijuaje kama yeye ana mpango wa kusababisha Uasi ndio maana akanukuu maneno yao kwenye mkutano ule..

Maana sielewi msingi wa kuwaita watu ambao hawakuwepo wakati wa mkutano huo, wala hawajasema mahala popote kuwa wao walisikia au walijua mpango wa Lissu kutaka kuhamasisha Uasi!
Upande wa Upepelezi naweza kuelewa lakini viongozi wa juu? Labda ingekuwa wao au mmoja wao ndio Washtakiwa.
 
Si ndio wao, wakuu wa Idara na vitengo waliopokea na kutekeleza kutoka kwa Mashahidi wa mshitakiwa kumkamata Lissu na kumpa kesi ya uhaini na wahakikishe viongozi wa upinzani wasiotaka ushirikiano na wafuasi wao wanashughulikiwa na kudhibitiwa kisawasawa tena kwa ushahidi wa mauaji ya October 2025? Mbona iko wazi kabisa hiyo?
 
Muislami anazikwa na jeneza? Takataka kujipa majina mabaya yatakurudia, we subiri siku moja au mbili zijazo utakuwa kwenye jeneza 😀😃😄😁😆😅😂 utani usiogope
Mie siwezi kuogopa maana nauza majeneza huu mwaka wa kumi na nilishaandaa la kwangu special kabisa hata familia wanajua nikichomoka tu wanajua nimelihifadhi wapi
 
Back
Top Bottom