Dalili ya mvua ni mawingu

Dalili ya mvua ni mawingu

Kumbe ndivyo ilivyo kuwa?

Baaasi imekwisha.!!

NB: SITAKI MASWALI.
Aulizwe mtoa mada
Utakataaje mashahidi wa mshitakiwa? Nadhani hata natural justice inakataa hoja hiyo.

Halafu kesho useme ushahidi uliopo unatosha kumtia hatiani. Labda kumuachia can make sense ukikataa mashahidi wake!
Umekataa mashahidi wangu halafu unifunge....IMANI SINA KABISA

Suppose anakuja Samia anasema huyu ni Simba tu mtukutu, hakuwa na nia ya kunipindua na serikali..Jaji utasemaje? Utamkatalia kuwa sisi tunaona alikuwa na nia ya kupindua?
 
Utakataaje mashahidi wa mshitakiwa? Nadhani hata natural justice inakataa hoja hiyo.

Halafu kesho useme ushahidi uliopo unatosha kumtia hatiani. Labda kumuachia can make sense ukikataa mashahidi wake!
Umekataa mashahidi wangu halafu unifunge....IMANI SINA KABISA
Yani shida ni kesi ya kujitungia
 
Back
Top Bottom