Unakuta kwenye hizo siku tatu umeshapakia nyingine unaongeza siku za mzigo kuwepo tumboni...weekend unakuta umepakia za ijumaa,jumamosi na jumapili....unatembea na mzigo wa siku 12....kabla hujaisha weekend hii hapaHalafu nasikia inachelewa sana kusagwa tumboni, yaani inaenda hadi siku tatu bado iko tumboni....sasa kwa nini mtu usijambe na kuota vibaya vitambi.....na isitoshe wengi wao hatufanyi kazi za kuushughulisha mwili kwa kiasi cha kutosha.
Umejitahidi sana mzee ,,,me nimeacha vingi ila ugali nyama choma na serengeti lite vimenitoa knock out...Nazingatia mkuu.. Kuku wa kisasa..Mayai..Chips hizii.. Nyama chomaa yani sigusiii..!! Now najifeel kupungua kabisa.. hata Nguo zilizokuwa zinanibana now at lst... Unene mbaya sana
Itakua no 3 eeeh ?
Sasa hivyo ndo balaaa... Nilikuwa nakula na kuku wa kuchomaa...Umejitahidi sana mzee ,,,me nimeacha vingi ila ugali nyama choma na serengeti lite vimenitoa knock out...
promo😊😛😛😜😜Hilo la kimoja na kugeukia ukuta sijui kama ni sababu,
maana wengine tukimaliza kupiga kimoja
mwenzio anakuwa kaishaimba nyimbo zote,
unageukia ukuta kuepusha usije ukaendelea ikawa taabu.
Unakuta kwenye hizo siku tatu umeshapakia nyingine unaongeza siku za mzigo kuwepo tumboni...weekend unakuta umepakia za ijumaa,jumamosi na jumapili....unatembea na mzigo wa siku 12....kabla hujaisha weekend hii hapa...kwanini usitoke kitambi kwa mfano.
Hapana na unadhani hata mi ni bonge basi nina mwili wa kawaida tu ila uzito ndio umekuwa mkubwa kidogo.Ndio hivo mkuu kwani zaman kabla ya kuwa bonge ulikuwa hivo?
Wadau wa ugali nyama choma na bia unatushaurije mamaa?Vyakula vyenye protein kama nyama, maharage, maziwa, njegere n.k kwa kujambisha ndio vyenyewe. Hata watoto wanaonyonya wanajamba sana. Ila havinenepeshi, tatizo carbohydrates, wali, ugali, viazi, ndizi, mikate, chapati, sukari ndivyo vinatumaliza.
Yaani hapo tatizo ni ugali, nyama choma, kachumbari kwa wingi kula tani yako. Ugali kama lazima punguza kipimo.Wadau wa ugali nyama choma na bia unatushaurije mamaa?
Beer zina calories nyingi sababu ya carbohydrates, na alcohol inaingiliana na uwezo wa mwili ku burn fat, inazorotesha metabolism....haifaiNa serengeti
Yaani dona kidogo, nyama choma yakutosha na salad ya kumwaga.Duuh,,,Lakini Dona nyama choma poa tu