Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,630
- 4,691
mkuu dalali hawezi kukosa, mana akiondoka na mteja wake hakosi pengine pakumpeleka, utakaekosa ni wewe tu
Hivi inakuwaje mfano kama hivyo, mteja amependa nyumba, then anakuja mwenyewe peke yake ananunua. Dalali anagundua kuwa kumbe ulimuuzia yule mteja?