Mwnyw hapo sikubali, atleast ht ingekuwa 500k nngemuachiajamaa zangu wametoana ngeu kwa sababu hiyo. Jamaa katangaza anauza ng~ombe sh 300,000/ sbb ya dharula, hakupata mteja. Kaomba msaada kwa jamaa, jamaa akamleta mteja kwa 750,000/, shughuli ilikuwa pevu. Mnunuzi kampenda sana yule mnyama, alikuwa mbegu bora.
Huu mfano hauna uhalisia. Anyway namwambia nimeahirisha kuuza.Mfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa
Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza
Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo nyumba kwa milioni 100 dalali anatoa milioni 10 yako anakupa Kisha yeye anabaki na milioni 90
Je utakubali?
Dalali anapaswa kuwa na ubinadamu. Ntakubali 65:35 au 60:40 si chini ya hapo, sasa kama atakubali kukosa 40m ili mm nibaki na nyumba na nikose 10m sawa.
Huo mfano hauna uhalisia ase.... million 10 Kwa million 100?
😂 Kama hataki unauza nyumba unachukua yote 100 kama atanuna bc anune mpaka afe
Sawa nikose akatajirikie kwa mwingine.mkuu dalali hawezi kukosa, mana akiondoka na mteja wake hakosi pengine pakumpeleka, utakaekosa ni wewe tu
Huo mfano hauna uhalisia ase.... million 10 Kwa million 100?
Mfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa
Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza
Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo nyumba kwa milioni 100 dalali anatoa milioni 10 yako anakupa Kisha yeye anabaki na milioni 90
Je utakubali?
Unatafuta kushenyentwaAh maaamaae namruka dalali live kweupeeeee akiwa anaona, namwambia tugawane nusu kwa nusu kama hutak nakula yote pesa yote pekee yangu
Namwambia nimeahirisha kuuza mali yanguUnatafuta kushenyentwa
Ntampa na makalio akichukua hizozote khaMfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa
Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza
Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo nyumba kwa milioni 100 dalali anatoa milioni 10 yako anakupa Kisha yeye anabaki na milioni 90
Je utakubali?
Umeacha figo, ini, moyo unampa kipitisha taka? Mpe figo.Ntampa na makalio akichukua hizozote kha
Sawa nikose akatajirikie kwa mwingine.
Hapana, mchawi ni huyo anayeloga nisipate mteja wa M10 ila yeye anapata wa M100.huoni kama ni roho ya kichawi hiyo?