Dalali akichukua pesa zaidi yako utakubali

Dalali akichukua pesa zaidi yako utakubali

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
2,211
Reaction score
3,524
Mfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa

Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza

Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo nyumba kwa milioni 100 dalali anatoa milioni 10 yako anakupa Kisha yeye anabaki na milioni 90

Je utakubali?
 
Acha tamaa,zingatia makubaliano.

Na hapo kwenye hiyo 10 yako itabidi umpe na chake Cha udalali .
jamaa zangu wametoana ngeu kwa sababu hiyo. Jamaa katangaza anauza ng~ombe sh 300,000/ sbb ya dharula, hakupata mteja. Kaomba msaada kwa jamaa, jamaa akamleta mteja kwa 750,000/, shughuli ilikuwa pevu. Mnunuzi kampenda sana yule mnyama, alikuwa mbegu bora.
 
Mfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa

Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza

Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo nyumba kwa milioni 100 dalali anatoa milioni 10 yako anakupa Kisha yeye anabaki na milioni 90

Je utakubali?
Huo mfano hauna uhalisia ase.... million 10 Kwa million 100?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom