Dalali akichukua pesa zaidi yako utakubali

Ilishawahi nitokea kabisa. Nilinunua shamba mwaka 2012 maeneo ya morogoro interior sasa ilipofika mwaka 2022 nikaamua kuliuza ila Kwa kugawa viwanja (ukubwa wa 30*20). Basi nikakata viwanja locally tu nikapata viwanja 20 nikatafuta dalali nikamwachia kazi. Bei 500,000 Kwa kiwanja kimoja .Baada ya wiki mbili dalali kanipia simu tayari anayo wateja wa viwanja vitano. Basi nikajongea Morogoro. Baada ya salamu dalali swali la kwanza akaniambia unakumbuka uliniambia niuze kiwanja shilingi ngapi? Nikamtajia then akaniambia sasa 2500000 ipo cash hayo mengine niachie ni ya kwangu, akaniambia hao wadau wakikwambia unauzaje waambie 1,200,000 Kwa kiwanja, yaan Mimi napokea laki Tano yeye laki Saba. Nilibadilisha gia angani nikamwambia mm nakula laki Tisa wewe utapokea laki tatu, hutaki napanda gari naondoka. Aisee ule mzozo ulikuwa sio wa kitoto lakini mwishowe anaikataaje laki tatu Kwa kiwanja kimoja? Mimi nikaambualia 4,500,000 na yeye 1,500,000
Hahahah aisee
 
Safi kabisa, dalali anajiona master kweli
 
Kuna mzee alikua anauza kiwanja chake, eneo kubwa tu, akawaambia madalali milioni 50 wao watalamba kumi. Wao wakaenda kuwapanga wachina, wakakubali kutoa milioni 100. Kama mnavyojua ndugu zetu weupe huwa hawamaindishi sana longolongo wakataka account namba ya mwenye kiwanja, wakaingizi mzigo wote kama ulivyo.

Mzee anakuta imesoma mia, madali wakata wapewe chao ambacho ni milion 60. Mzee akagoma akasema tulikubaliana milion 10 ndio mgao wao. Ilikuwa utata madalali wakasusa hadi kumi. Hawakulamba hata senti yule mzee alivyo mtata na kauzu.
 
Hata mm nisingekubali 😀
 
Kuna uhalisia kabisa na vinatokea kila siku,
kuna hata viwanja unaona bei ghali ni madalali wanapandisha bei.

Kiwanja unakuta muuzaji anauza 60 M wao wanauza 250M.

NA Mkizinguana na madalali kuuza hicho kiwanja aise utasubiri saaaana.
Na hapo ndipo Serikali inatakiwa kupeleka mswada Bungeni. The max dalali anatakiwa kupata should not exceed 25% ya atakachopata mwenye mali no matter dalali ali-inflate bei or otherwise.

Biashara ya udalali inahitaji kuwa regulated sana kuondoa uhuni unaofanywa na the so called dalali's.
 
Kuna mzee alikua anauza kiwanja chake, eneo kubwa tu, akawaambia madalali milioni 50 wao watalamba kumi. Wao wakaenda kuwapanga wachina, wakakubali kutoa milioni 100. Kama mnavyojua ndugu zetu weupe huwa hawamaindishi sana longolongo wakataka account namba ya mwenye kiwanja, wakaingizi mzigo wote kama ulivyo.

Mzee anakuta imesoma mia, madali wakata wapewe chao ambacho ni milion 60. Mzee akagoma akasema tulikubaliana milion 10 ndio mgao wao. Ilikuwa utata madalali wakasusa hadi kumi. Hawakulamba hata senti yule mzee alivyo mtata na kauzu.
Duuh hatari sanaa.. madalali wenyee rohoo ngumu hakuachii salamaaa
 
Unakula yote ww mteja unamjua si anaondoka nae...
Washenzi hao wanajua divide and rule hao! Wanahakikisha hupati connection na mteja no matter what! Kuna kitu Serikali inatakiwa kufanya kwenye haya mambo ya udalali muhimu TRA asichukue nafasi ya dalali maana ni mbaya zaidi!
 
Kuna mzee alikua anauza kiwanja chake, eneo kubwa tu, akawaambia madalali milioni 50 wao watalamba kumi. Wao wakaenda kuwapanga wachina, wakakubali kutoa milioni 100. Kama mnavyojua ndugu zetu weupe huwa hawamaindishi sana longolongo wakataka account namba ya mwenye kiwanja, wakaingizi mzigo wote kama ulivyo.

Mzee anakuta imesoma mia, madali wakata wapewe chao ambacho ni milion 60. Mzee akagoma akasema tulikubaliana milion 10 ndio mgao wao. Ilikuwa utata madalali wakasusa hadi kumi. Hawakulamba hata senti yule mzee alivyo mtata na kauzu.
Duh! Mzee anahatarisha usalama wake, jamaa kumfanyia kitu kibaya hawakawii
 
hilo nalo ni neno naafiki
sema jambo lingine watu wengi hawapendi kuwatumia wathaminishaji kujua thamani halisi ya mali kabla ya kuiuza. wanajiropokea bila kujua. matokeo yake wengi wanakua wameweka makadirio madogo bila kujua thamani ni kubwa. mfano sisi tuliuza eneo milioni 90..wa pembeni yetu siku moja nyuma tena kwa ukubwa unaokaribiana aliuza kwa milioni 55. aliposikia tumeuza kwa bei hiyo jamaa aliumia dhahiri mpaka akawa anamtafuta tuliyemuuzia. lakini sisi tuliuza kulingana na thamani halisi ya ardhi ya eneo husika

kuuza kwa kukurupuka na kuuza ukiwa na shida ndio matokea ya mazingira kama hayo
 
Hata kuuza kwa mil10 ndio tulichokubaliana sio 100

mkuu naona unashindwa kuelewa mazingira, wewe unauza 10m, dalali anakuja na mteja kwa sharti kuwa muuze 100 yeye ale yake 90. kwa hiyo hapo hamjakubaliana bado mupo kwenye negotiation ya kazi. swali la mleta mada je utakubali?
 
Mfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa

Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza

Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo nyumba kwa milioni 100 dalali anatoa milioni 10 yako anakupa Kisha yeye anabaki na milioni 90

Je utakubali?
Hiyo 10M itakuwa halali yako kwa sababu pamoja na kujenga nyumba yako umeshindwa kujua market value ya nyumba yako, kiufupi wewe ni boya na dalali siyo tuu anatakiwa achukue 90M bali pia 10 percent yake ya udalali.
 
Utakuwa dalali wewe kwa maana hiyo akunje jumla m 91😅😅😅huo ni umakeiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom