Daktari: Wafanyakazi wengi maofisini ni vichaa

Daktari: Wafanyakazi wengi maofisini ni vichaa

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,449
Reaction score
100,752
Huu ujumbe mgumu sana kuuelewa, yaani kila Ofisi utakayoingia utakaowakuta ni kichaa, only that hawajawa certified kama wale wa Mirembe.

========

1477220031044-jpg.422906
 
Utafiti ule wa mwanzo wanne mmoja kichaa..huyu dr ni kati yao nae kichaa
 
Kati ya watu wanne mmoja ni kichaa.. Hebu ingia pale bandarini au BOT chukua idadi ya wafanyakazi halafu utapata jibu mwenyewe..
 
Kuna ka ukweli kiasi mana time nyingine waweza ingia ofisini wamkuta mtu kanuna anakuhudumia kwa hasira over mmegombana.. Angalie ile issue ya Arusha ya chama chetu na kile cha jamaa shida tupu
 
Angeanzia hospital ningemwelewa maana mgonjwa anavyofokewa badala ya kutibiwa inaonekana utafiti huu ungeanzia huko
 
Back
Top Bottom