KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,518
- 6,524
Ndipo tunapoelekeamwisho wa siku watasema ukweli kuwa Watanzania wote ni Vichaa hakuna cha ratio wala nini hapo...
Ndipo tunapoelekeamwisho wa siku watasema ukweli kuwa Watanzania wote ni Vichaa hakuna cha ratio wala nini hapo...
mwisho wa siku watasema ukweli kuwa Watanzania wote ni Vichaa hakuna cha ratio wala nini hapo...
mwisho wa siku watasema ukweli kuwa Watanzania wote ni Vichaa hakuna cha ratio wala nini hapo...
Hahahahaha pale walikutana vichaa ila yule wa kijani alikua mgonjwa zaidiKuna ka ukweli kiasi mana time nyingine waweza ingia ofisini wamkuta mtu kanuna anakuhudumia kwa hasira over mmegombana.. Angalie ile issue ya Arusha ya chama chetu na kile cha jamaa shida tupu
Hiki nacho sio kichaa kweli??Pelekeni dawa mahospitalini nyie mburula acheni tafiti za kipuuzi zinatusaidia nini mamburula nyie
Hahahahahaha I like this ooghhkisikiji kama tupo busy kutaka mapato ya boda boda huku hatuzungumzii gesi wala madini maji ya bahari hatulipii yapo tuu tunaweka mazingira magumu Meli zisije kushusha mizigo tukapata chochote woote ni Vichaa..tena wametustahi hapo..
Dr yupi mmojawapo sasa??Dr mwenyewe chizi maana naye yupo ofcn
Lakini hakusema Wafanyakazi wote,Dr mwenyewe chizi maana naye yupo ofcn
Mm mwenyewe nashangaa ,yaani mwenye kazi apate major depressive illness ,na asiyekuwa nayo atakuwa na nn..!!?? Schizophrenia ama..!!??Kwa mujibu wa huyo daktari basi watu ambao hawana ajira ndio vichaa kwa sababu wana usongo wa mawazo sana kupitiliza
Au wanafanya hizi kazi /tafiti kisiasa?Mm mwenyewe nashangaa ,yaani mwenye kazi apate major depressive illness ,na asiyekuwa nayo atakuwa na nn..!!?? Schizophrenia ama..!!??
Kichaa ni hali ya MTU kupinga uwepo wake hapa duniani kwamba ameumbwa kwa lengo kumtumikia aliemuumba kwa kufuata aliyoamrishwa na kuacha aliokatazwa. Hawa ndo vichaa waliojazana duniani hasa zama hizi,wana majina meeengi kv teacher,professor, director,blabla......nkKichaa ni nini/nani? maanake mi huwa nasikia kila mtu ana ukichaa wake!!!