Daktari: Wafanyakazi wengi maofisini ni vichaa

Daktari: Wafanyakazi wengi maofisini ni vichaa

...mnh,mbona huu utafiti wa vichaa,umeshika hatamu siku hizi?,FYI mmoja kati ya nne ni kichaa,sio tafiti za hivi karibuni,waziri tu kalileta kny surface,ila ili jambo sio la sasa hivi,limekuwepo kwa kipindi sasa,na ni the whole population in the world,ndio mmoja kati ya wane,sio Tanzania peke yake.
 
Kila mmoja Ana ugonjwa wa akili kivyake. Kwa hiyo hii ya kuwa maofisini kuna vichaa wengi sio ajabu
 
waandishi wa siku hizi siyo! kuna tofauti kati ya ugonjwa wa akili na kichaa. ukiwa na msongo wa mawazo nao huesabiwa kama. ugonjwa wa akili lakini siyo ukichaa
 
Back
Top Bottom