Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,990
- 132,694
Kitu kikubwa kabisa na cha ajabu alichokifanya huyu anayejiita daktari wa K ni kitebdo cha kutoa siri za K na za wanawake wa K anaodai aliwatoa mimba za K kwa maelekezo ya K!. Nilichoka kabisa!.
Pasco.
kwanza angekuwa daktari asingejitangaza kutoa mimba.....
Wana body,
Naomba kutoa duku duku langu kuhusu huyu jamaa anayejiita Daktari wa Kanumba kama ni daktari kweli au he is just an imposter anaye pose kama daktari na luckly Kanumba akamuaminia na kumfanya ni daktari wake!.
Japo bado sijafanya search yoyote kuestablish authenticity ya udakitari wake, lakini hivi karibuni amekuwa aki onekana sana kwenye media and he just talks too much but doesn't sound as a doctor but just as a layman!.
Nina mashaka sana na huyu jamaa and I seriously doubt him hata kama japo hata u - medical assistant. I think ni imposter!.
Pale kwenye msiba niliongea nae akasema yeye alifika kwa K saa 7 usiku na alipompima aligundua ameshakufa!. Ila hakuwaambia aliowakuta ili wasishtuke!. Eti baada ya kujua K keshakufa, ni yeye ali valisha nguo na kuwadanganya waliopo wamuwahishe hospitali!. Hivi kweli ni vitendo vya professional doctor!.
Hiyo story ya L kupigwa sana na kujeruhiwa vibaya pia aliisema!. L alikutwa night club akijirusha!.
Kitu kikubwa kabisa na cha ajabu alichokifanya huyu anayejiita daktari wa K ni kitebdo cha kutoa siri za K na za wanawake wa K anaodai aliwatoa mimba za K kwa maelekezo ya K!. Nilichoka kabisa!.
Nawathibitishia kesi itakapo anza, mtalishuhudia hili la imposter kujifanya ni medical doctor !. Mkumbuke pia ni doctor huyu huyu ndio ameigiza movie ya mwisho ya K yeye akiact ni daktari!.
Hivyo nawaombeni sana, yote yanayotamkwa na daktari huyu, sio ya kuyaaminia kisaana, to be on a safe side, nashauri tuyachukulie kijuu juu!.
Pasco.
Mkuu Matola, japo super star kwa mkeo na wanao sio lazima awe ni super star kwako lakini msiba wa mkeo na wanao ni msiba wako!. K was super star kwa familia yangu hivyo ulikuwa ni msiba wetu na msibani nilikwenda!.Pasco na wewe umeingia kwenye mtego huu wa kujadili habari za Kanumba? why Kanumba? Ina maana Pasco mwenzetu umejaliwa uwezo wa kumgunduwa mtu ambaye siyo daktari kwa macho tu?
Issue siyo huyo anayesemekana kuwa Daktari wa Kanumba kwamba lazima awe MD kwa utamaduni wetu wa Kitanzania mtu yeyote mwenye mafunzo ya Medical akiwa ni mwanaume sisi tunamwita Daktari na Watanzania hatuna utamaduni wa kuwa na Personal Dr, kwa vyovyote huyo alikuwa ni Dr wao wa kumaliza vimeo vyao
Kinachonisikitisha zaidi mtu makini kama wewe bado unaturudisha nyuma kujadili kifo cha mzinzi na mbakaji ambaye alifikwa na umauti katika mazingira yasiyopendeza huku akijihusisha kingono na mtoto mdogo ambaye alishaanza kumuharibu tangu akiwa na miaka 14.
Mkuu Chilli tatizo langu kubwa ni kuwa mkweli mno!. Hata hayo ninayoongeaga kumhusu EL ndio ukweli wenyewe!. Tatizo membas wengi humu hawapendi ukweli mchungu na wengine ni hate preachers na prophets of the doom ambao wamegubikwa na chuki dhidi ya watu fulani fulani.Napenda sana analysis zako Pasco hasa ambazo hazimuhusishi EL.
Hili ulilolisema sounds to be logicaly true.
Mkuu Matola, japo super star kwa mkeo na wanao sio lazima awe ni super star kwako lakini msiba wa mkeo na wanao ni msiba wako!. K was super star kwa familia yangu hivyo ulikuwa ni msiba wetu na msibani nilikwenda!.
Watanzania tuna utamaduni wa kuzungumza mazuri tuu kuhusu marehemu, kwa vile no one knows alisema nini kabla roho haijaacha mwili, ule umati ni uthibitisho alitubu and belive me, he is a saint now na kazi yake kubwa ya kwanza atakayoifanya kama malaika ni kumnasua yule binti katika dhahama aliyomuachia!.

Pasco wakati mwingine huwa unatafuta mwenyewe kudhalauriwa hata na kichaa, kwanza kabisa kwenye hiyo Red ya kwanza niombe radhi mimi na Familia yangu, usidhani Familia zote zinafanana na ya kwako kushabikia vitu vya kipuuzi. Nonsense.Mkuu Matola, japo super star kwa mkeo na wanao sio lazima awe ni super star kwako lakini msiba wa mkeo na wanao ni msiba wako!. K was super star kwa familia yangu hivyo ulikuwa ni msiba wetu na msibani nilikwenda!.