Daktari Mkapa Hospital Afafanua Huduma ya Epidural

Daktari Mkapa Hospital Afafanua Huduma ya Epidural

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,093
Reaction score
866
Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi Tiba, Lugano Wilson, kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma anatupitisha zaidi kwenye huduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii kitalaam ikifahamika kama "epidural."

Bofya kutazama 👇🏾


View: https://youtu.be/QZ9PglU1Mh0?si=5gfmOPwVIFKAV8Bv

MAELEZO PODCASTS ni bidhaa ya Idara ya Habari-MAELEZO
 
Back
Top Bottom