Daktari auawawa Makete

Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,231
1,470
Usiku wa kuamkia jana wanachuo wa Taasisi ya Afya cha Bulongwa Hospitali (Maarufu kama chuo cha Dental na Nursing) wamemvamia, kumpiga, kumjeruhi na hatimaye kumuua daktari wa hospitali ya Bulongwa Dr. Jumbe Maphingo.

Sababu bado haijajulikana
Innà lillàhi wa-inna ilayhi raajiuun! Allah Amweke mahali pema
 
kwa hiyo wamemfanya nini? manke mi hiyo ya KUUAWAWA sijawahi kuisikia!!

ufafanuzi tafadari wa kilichotokea
 
Heeeeeee!jamani daktari kawafanya nini tena mpaka auwawe duh!Mungu na awe mfariji wa wafiwa
 
Jamani, ma'dr walivyo wachache!!!! Ngoja tusubiri intelijensia, pengine kuna jambo hapo! Alazwe pahali pema!
 
Kuna jambo kubwa...si bure! Hiyo hatua ni ya juu sana!...May justice take the over!
 
Kuna jambo kubwa...si bure! Hiyo hatua ni ya juu sana!...May justice take the over!

Conspiracy theory hazikosi

Wako wanaoconect na kifo cha dr mwingine kule zanzibar hivi karibuni

Kuna wanaosema wanafunzi waligoma katika fujo za wanafunzi wakampiga na kusababisha mauti yake
 
Jamani wenye taarifa yachanzo cha kupigwa mpaka kufa mtujuze...mie mtu wangu wa karibu na familia ya marehemu anasema hata wao hawajui chanzo cha kuuwawa kwa ndugu yao kozi last week alitoka kumzika mama yake mzazi afu doctor mwenyewe yupo ktk mradi wa USAID...

R.I.P
 
I will miss you doctor....ts only four days passed since nimekuona for the last tyme,ukweli bado cjafahamu nini chanzo cha ukatili huo uliofanyiwa,kwa wema wako haukustahili kulipwa hayo bado natamani walimwengu wanifungue masikio zaidi ni kipi amefanya Dr Jumbe..

Hakika marejeo yetu sote ni kwake yeye Allah,
Kwa yale mema uliyoyaacha hakika yatakufaa unapoelekea.
Mola akuangazie nuru na akuondolee adhabu za kaburi inshl.
 
Usiku wa kuamkia jana wanachuo wa Taasisi ya Afya cha Bulongwa Hospitali (Maarufu kama chuo cha Dental na Nursing) wamemvamia, kumpiga, kumjeruhi na hatimaye kumuua daktari wa hospitali ya Bulongwa Dr. Jumbe Maphingo.

Sababu bado haijajulikana
Innà lillàhi wa-inna ilayhi raajiuun! Allah Amweke mahali pema

Bila shaka hawa ni wachagga!
 
Jamani wenye taarifa yachanzo cha kupigwa mpaka kufa mtujuze...mie mtu wangu wa karibu na familia ya marehemu anasema hata wao hawajui chanzo cha kuuwawa kwa ndugu yao kozi last week alitoka kumzika mama yake mzazi afu doctor mwenyewe yupo ktk mradi wa USAID...

R.I.P

Ndo hivyo ndugu yangu,lakn kuna watu wameagizwa wakafanye hiyo kazi ya upekuzi..soon wataweka kila kitu mezani,lakn bado ndg yetu ndo amekwisha ondoka na harudi tena hata kama kila kitu kikiwekwa mezani...Ukweli nimeumia sana.
Mwenyezi Mungu nijaalie uvumilivu inshl
 
ERATA: dr maphingo ni wa muhimbiri na siyo hapo kwenye chuo na nurse+dentist, alikuwa iringa kwa utafiti juu ya HIV/AIDS chini ya USAID. RIP.
 
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon

“Ewe Mwenyezi Mungu msamehe Dr. Jumbe Maphingo, na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyowacha nyuma na utusamehe sisi na yeye ewe Mola wa viumbe vyote na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake”

Kwa taarifa nilizo nazo ni kuwa Doctor alikuwa Tanga, akapigiwa simu na wanafunzi wa icho chuo kuwa wanamuitaji. Baada ya yeye kufika uko ndio wakamvamia na kumpiga Panga la kichwa na kusababisha kupasuka kwa kichwa na kupelekea mauti yake.

Wahusika wa tukio ilo la mauwaji wamekamatwa na wapo polisi kwa mahojiano zaidi.

Marehemu anezikwa leo... Tanga

“Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo”
 
ERATA: dr maphingo ni wa muhimbiri na siyo hapo kwenye chuo na nurse+dentist, alikuwa iringa kwa utafiti juu ya HIV/AIDS chini ya USAID. RIP.

Hapo ndipo mashaka yanapokuja dr aliijua HIV/AIDS haswa.

Haya tutasikia lakini maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Kwa taarifa nilizo nazo ni kuwa Doctor alikuwa Tanga, akapigiwa simu na wanafunzi wa icho chuo kuwa wanamuitaji. Baada ya yeye kufika uko ndio wakamvamia na kumpiga Panga la kichwa na kusababisha kupasuka kwa kichwa na kupelekea mauti yake.

Aisee..
 
Kifo cha Dr Jumbe kinasikitisha sana manake aliipenda kazi yake na akaipenda kweli. Alitekelaza kazi zake kwa moyo mmoja. Kwa kweli tumempoteza daktari bora.
Itapendeza iwapo vyombo vya serikali watafanya uchunguzi wa kina. Huenda kama hii issue ina utata fulani... Mungu awatie nguvu wafiwa. R.I.P Dr, R.I.P....
 
Back
Top Bottom