Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.
Physics ya o level na a level zimetofautiana nini?
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
wewe jamaa jinga mtozeni wewe.....unaaibisha umri wako na wazazi wako jitu zima pumba.....wabongo mna kazi sana na nchi yenu.......Sasa mnaoenda pia Kusoma CBG ni Vilaza..nakwambia mtu aliyepata div 4 PCB angesoma CBG angepata div 1 au 2..believe it
Nimependa sana huu msemo mkuu!
We ndo mshamba..huijui medicine were..we unadhani medicine ni kitu rahisi kila mtu anaweza soma?nyamaf
C'mon pple..you apply physics in tappin fluids from the body..electrocardiography..n so many...alafu it's not fair mtu ALIYESOMA an easy combo of subjects..Tuulize sisi tunaojua..au unataka kutibiwa na jitu lisiloelewa linachofanya..unajua mtu akiwa anafanya kitu kwa kuelewa na experience huyo anakuwa very flexible akiona any new changes..tofAuti na jitu la CBG halielewi fluid principles..electricity..waves alafu linakutibu tuu..Kama robot..hawezi kureason vitu kwa kutumia principles za physics za kawaida anang'aa sharubu..kamwekea mgonjwa drip ya maji mgonjwa kachanganyikiwa kichwa kinamuuma hajui nini kinaendelea
haya mambo ya prestige yanaturudisha nyuma sana mtu wa CBG anaweza kuwa dokta mzuri kuliko wa PCB jiografia itamsaidia kujua mwenendo wa magonjwa na mazingira. au mnafikiri wanaposoma veterinary hakuna cardiology na GFR? kutibu mtu na mnyama principle ni sawasema unaongeza extra care kwa binadamu. kwenye shule ya MD physics ipo kidogo sana hata ya o-level inatosha. sema madingi wa muhimbili wamekalia utabe/prestige sana. pricnciple zilizopo kwenye chemistry kama gas laws na mambo ya osmosis yanatosha sana kuelewa sterling forces kwenye cardiology. pia kwenye chemistry mambo ya radiation yapo covered. tuacheni masifa wajama.
haha..nimekusoma ndo hao wanafanya vitu bila kuelewa kwa kucram..mwisho wa siku ndo kulipua lipua na kuua wagonjwa kwa false diagnosis..mnaridhika na poor quality service..ma radiologist tz hawazidi 15..wengine kama hao ma cbg wanapakazia watu magonjwa kama pneumonia na tb..au lazma wawaconsult madaktari wa ukweli..
hivi biophysics dsiu hizi haifundishwi tena huko muhimbili? ama biochemistry hadi mtu wa cbg aonekane kuwa incompetent?
mimi sijasoma medicine wala pharmacy lkn kwa yale niliyoyasoma kwenye chem na bios yamenifanya niwe almost a medical dr or a pharmacology.na ninafanya vyema sana kwenye hiki ninachokifanya.
swala hapa si kusoma physics bali swala ni vyuoni wanapewa ile dose yenye tija?? kama wanapewa nyanga znye tija hata aliyesoma hgk anaweza kusmea udaktari pasi shida yyte ile.
Reason logically..don't use anger..physics opens your mind, radiology..cardiology..you need physics In so many aspects of medicine ..Tanzania kwa ubabaishaji!!
Kwahiyo kumbe kutibu kiumbe kisichojujua kulalamika au kushtaki ukimalpractise ni kitu kigumu kuliko kutibu kiumbe Kama binadamu! Am surprised!we fluid pungunza ubumbumbu,kozi ngumu ni kama ifuatavyo,medicine kitu gani we
1 veternary medicine
2 engineering
3 Pharmacy
4 medicine(watu wa kukariri )
hebu jiulize ata wewe mweyewe kutibu kitu/mnyama asiyeweza kujieleza (kutoa fully history) ma binadamu anayeweza kutoa maelezo wapi kuna ugumu?anayetibu wanyama ni bora zaidi,vet ni nomaa,iyo internal medicine,obgy,paediat very simple like kumsukuma mlevi.Kwahiyo kumbe kutibu kiumbe kisichojujua kulalamika au kushtaki ukimalpractise ni kitu kigumu kuliko kutibu kiumbe Kama binadamu! Am surprised!
Three principal passes at "D" grade or higher at A-level in the following subjects. Chemistry, Biology/ Zoology and Physics. Preference will be given to applicants with "C" Grade or above in Chemistry or Biology in that order. Candidate with "E" in Physics at A-level provided they have "C" or higher in Chemistry or Biology.
Three principal passes at "D" grade or higher in Chemistry or Biology/Zoology or Physics provided the other two subjects are not below "E" at A-level.
Three principal passes in Physics, Chemistry and Biology/ Zoology (Grade D or better) at A' level or a minimum of 5 grade points.
Three principal passes at C grade on higher in Chemistry and a ‘D' grade higher in Biology and Physics i.e. [C,D,D] (7 points from three subjects) minimum] OR Principal passes at C grade on higher in Chemistry and a ‘D' grade higher in Biology or Physics i.e. [C,D] ( minimum 5 points from two subjects)]
Two principal level passes one of which must be at level D or above in Biology, Chemistry or Physics
Maths? I guess kulikuwa na typing error!Three principal level passes in Physics,Chemistry and Mathematics.
Mimi nakwambia huu utoto uko sekondari wa kutishiana kombi ila unapokuwa unagundua kuwa mawazo hayo hayana mpango.....ila cha kusikitisha ni kuwa wengine hawakuwi....yani kuna watu hapa ni madaktari nao wanachangia pumba.....Madaktari waliosoma CBG wako mpaka muhimbili na wanafanya vizuri tu sijui kwa nini hawalioni hilo.....fuatilia tabia za madaktari wengi....kupiga domo tu....
Dokta Masau alianza kupigwa vita na wazee wa muhimbili katika hatua za mwanzo kabisa....ni hawa wazee wanawaambia wanafunzi wao kuwa wao ni bora kuliko wakenya hata wanaosoma europe......wazee wazima hata haya hawana wamefunga safari mpaka kituo cha habari kuwatangazia watanzania kuwa Dk Masau sio wa kwanza kufanya Open heart Surgery kisa tu Masau alikuwa mwanafunzi wao....Ndio maana wamejazana katika zile kota kama kumbikumbi.....Jitu zima na Phd limekalia ulevi na umbeya....
Mimi nasoma medicine najua vizuri mentality za madaktari......tunapenda kuaminisha watu kuwa medicine ni impossible na ni ma-sub gods tu wanauwezo wa kuifanya......zamani zilikuwa zinaenda div 1 tu medicine ila sasa div 2 mpaka div 3 kwa wanawake zinachukuliwa na wanakuwa madaktari wazuri tu......Bidii kidogo tu inahitajika wala msitishe watu hapa
Tabia kama hizi ndio zimesababisha migomo isiyo na kichwa wala miguu....ati kisa tu wewe ni daktari hutaki mwingine alipwe zaidi yako.....upuuzi.....