No body was born a doctor, anyone can be trained and become a very good doctor! Acha kukariri... Make reference to Albert Einsten's success story.ndugu yangu ndo maana kenya wanaishia form four lakini kuna wanaoenda kusoma udaktari, engineering nk. Unadhani wanabeba kila mtu ili mradi kamaliza form four? Hkl? Hahaaa, huko mi sipo. Ndo maana wajanja walianzisha pcb na pcmili kuchuja vilaza wote kwani medicine na engineering siyo ya kila mtu. Kuna wengine inabidi wakafanye mambo mengine. Na hiyo siyo tanzania tu kwani nchi nyingi wanafanya hivyo. Tatizo la madaktari lingekuwa halipo kama kila mtu angeamua kwenda kusoma medicine akaenda. Ni wangapi walitamani kusoma udaktari wakaishia kusoma hgl kwa kuwa na uwezo mdogo wa science? Kama uwezo wako ulikuwa mdogo kubali tu. People in medicine are gifted ndo maana kuna utofauti wa iq.
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
Kuna Dogo namfahamu alisoma HGL Mzumbe na Akapata scholarship ya kwenda kusoma Medicine Uturuki I think there is something wrong with our education system
The entrance requirements for Medicine at Oxford University are three A-levels or equivalent qualifications. Competition for places is very strong and we would be looking for three A grades, taken at one sitting.
One A-level must be Chemistry, the second should be Biology, Physics or Mathematics and the third can be any subject except General Studies or Critical Thinking.
If you do not have Biology, Physics or Mathematics to the full A-level, you would need to have that subject to at least GCSE level, or to have the dual award combined science GCSE.
https://uni-of-oxford.custhelp.com/...-i-need-to-apply-to-study-medicine-at-oxford?
The entrance requirements for Medicine at Cambridge University are passes in Chemistry and two of Biology/Human Biology, Physics, Mathematics at A Levels and Double Award Science and Mathematics two single awards in GCSE Biology and Physics may be substituted for Double Award Science.
Medicine
At Harvard, the Faculty of Medicine accepts applications from current students in good standing and graduates of accredited colleges who:
- Present evidence that their intellectual and personal credentials are of such quality as to predict success in the study and practice of medicine.
- Demonstrate aptitude in the biological and physical sciences during their undergraduate years, but not to the exclusion of the humanities and social sciences.(A study at Harvard Medical School has shown that students are successful in their medical studies regardless of undergraduate concentration, providing that they have had adequate science preparation. Students are urged to strive for a balanced and liberal education rather than specialized training. No preference is given to applicants who have majored in the sciences over those who have majored in the humanities.)
Requirements for Admission | HMS
KAMA mpaka leo hujajua hata ukishawishiwa hutakubali.nchi hii imeharibika kwasababu watunga sera wengi ni hao waliosoma HGL,HKL,KLF na hawatumii hekima kutambua ukweli kwamba UDAKTARI ni taaluma inayo hitaji umakini mkubwa na only talented few can make it.why you think that any doctor must study physics for two years( a level)
What so special so that CBG cant become a good doctor without physics? You have to convice us and we dont want blah blah here.
I just wanna know. Whats so special in P?
Hii kali kuliko :madgrin:
siku nikikutana na daktari aliye soma hkl sitakuwa na sababu ya kupata matibabu kwake nitatafuta matibabu online au bora kugharamia niende KENYA,UGANDA AU MALAWI. SISI tubaki kupiga siasa kwenye kila kitu. kweli kanchi kangu kameingiliwa.
hii nchi watu wanataka short cut kupata matokeo magumu.
umewaza vizuri lakini hujatazama madhara yake kwa mapana sitahiki. ukiruhusu mtu aliye soma CBG,CBN,ABC wasomee udaktari kama waliosoma PCB kuna hatari ya ku create imbalance.kimsingi PCB ni ngumu kuliko kombination hizo tatu whether you like or not wanafunzi wanajua hivyo na ndio ukweli.ndani ya muda mfupi wanafunzi wanaotaka kusomea udaktari hawatakuwa na sababu ya kuhangaika na PCB wakati njia rahisi ya kufikia malengo ipo yaani kusoma CBN,CBG, ABC nk.Hakuna mwanafunzi atakae soma PHYSICS.Pamoja na yote wanafunzi wengi ni opportunists kwanini awekeze muda wao mwingi kusoma physics wakati kuna njia nyepesi? siku hizi wanafunzi wanasoma PCM na wanafaulu vizuri kwa kiwango cha div 1 lakini hawaendi kusomea ENGINEERING badala yake wanakwenda kusoma B.COM kwanini? kipato.matokeo yake ENGINEERING udsm wanafunzi ni wachache sana.they have created imbalance.watu hawaoni sababu ya kukesha unasoma wakati ukija kwenye ajira aliye soma kwa urahisi anakuwa na mshahara mkubwa, kwanini wasibanane hukohuko?haya mambo ya prestige yanaturudisha nyuma sana mtu wa CBG anaweza kuwa dokta mzuri kuliko wa PCB jiografia itamsaidia kujua mwenendo wa magonjwa na mazingira. au mnafikiri wanaposoma veterinary hakuna cardiology na GFR? kutibu mtu na mnyama principle ni sawasema unaongeza extra care kwa binadamu. kwenye shule ya MD physics ipo kidogo sana hata ya o-level inatosha. sema madingi wa muhimbili wamekalia utabe/prestige sana. pricnciple zilizopo kwenye chemistry kama gas laws na mambo ya osmosis yanatosha sana kuelewa sterling forces kwenye cardiology. pia kwenye chemistry mambo ya radiation yapo covered. tuacheni masifa wajama.
Sasa mtapataje div 1 wakati wote ni insecure na Vilaza ndo mnaosoma CBG?alafu wenzako physics inawaconsume kwahiyo ku balance Muda wa hiyo chemistry na biology unamezwa na physics!we geography inaugumu gani?watu hadi Vilaza Kabisa..hgk hge..etc wanafaulu ndo sembuse watu wa sayansi?
acha ushamba mbona kuna dada namfahamu ni daktari MOI,lakini wakati tupo sekondari alikuwa anasoma CBN pale jangwani,sasa ni specialist wa mifupaWadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
WAPE HIYO HAO Jamaa! Hivo ndo vinavochkua creme de la creme ya dunia..sasa hawa waleta vi geography vyao hapa
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
Hebu tufanye utafiti kidogo ili tuone kama kuna tofauti ya performance kati ya doctors waliotoka kwenye CBG na hawa waliozoeleka wanaotoka PCB , ikiwezekana na majina yao yawekwe , vinginevyo mimi sioni ubaya kwa watu wa CBG kusoma udaktari , tunachohitaji ni kile watakacho deliver mwisho wa siku , isije ikawa ni wivu wa kijinga tu , maana siku za nyuma kidogo sisi tuliokuwa tupo kwenye PCB tuliamini tuna akili sana kushinda wenzetu wa michepuo mingine ! Sasa sijui kama hawa vijana wa sasa nao wana mawazo mgando kama yetu yalivyokuwa .
Chuoni kila kozi inaanza upya... So back ground doesnot matter sana. PCM and CBG can be better than PCBs. What matters ni jinsi mwanafunzi atakavyo catch up na ku-master masomo ya udaktari.
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
kaka wewe ndio umesema CBG wanapata div one kirahisi halafu unajikanyaga mwenyewe.....mimi sitaki kutumia muda wangu kubishana na mtu aliyegoma kukua (débile mental)...piga kelele ukichoka kalale ila kesho wenzako wanaamka kupiga hatua moja zaidi kuelekea maendeleo ..... huwezi zuia mvua mjomba ....ndio maana juzi AMO kachaguliwa daktari wa mkoa mashuzi yanawatoka wakati RMO sio post ya kugombania kwa kijana anayejielewa ....wenye macho nadhani wameona...