Dakika za mwisho Al-Bashir amebaki peke yake

Tatizo la tz ni moja, sio rais, ni ccm tu, siku wananchi wakiamka, ccm wote ndani, kwa vile walivyo kuwa wakusukuma wapinzani ndani.. Ccm lazima ikubali kuachia madaraka kwa wapinzani wao, tumechoka na agenda zao za kikonist

Huu ni ukweli uliowazi. Al bashir wa nchi yetu ni ccm tu. Hakuna mwingine. Siku ccm ikianguka, huenda nchi yetu ikapiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Hiki chama kimefanya blanda nyingi sana tokea kianzishwe kuliko mafanikio yake.

Kimewekewa mazingira ya chenyewe kuonekana ni chama bora sana kuliko hata Tanzania na watanzania wenye nchi yao.
 
Wanayoyafanya ccm si mapya kwa albashir ccm wanapita mkondo huohuo.
 

Aione jiwe na ikae kwenye Kumbukumbu yake.
 
Mku ndio atuepushe kwani Katibu wangu analiona kumbuka wapinzani hawashiriki uchaguzi wowote wa marudio kuna la kujiuliza tukiwa kama watanzania.
Chama cha siasa ni uchaguzi bila ya Uchaguzi hapa ni shida.
Chama changu ccm na viongozi wetu wastafu waliangalie hili na wakumbuke chuki ni kubwa imejengeka ndani ya Mioyo ya hawa wenye Itikadi zao na wakumbuke Itikadi inaishi Mioyoni mwa watu na kama inaishi mioyoni hawa hawa viongozi wanategemea nini?
Zaidi ya kuzalisha matizo ambayo anaweza kuleta historia mbaya ktk Nchi hii yenye utamaduni wa kuheshimiana.

Wapinzani waheshimiwe kama vyama vya siasa kwani nao ni Watanzania kwani wanastahili hilo sio kwa kuonewa huruma kwa kuwa wanahaki na Nchi yao
Naanza kutafakari maonyo aliyo toa ktb mkuu wetu Al Bushiru kuonya chama je ameona nini mbele
 
Tatizo la tz ni moja, sio rais, ni ccm tu, siku wananchi wakiamka, ccm wote ndani, kwa vile walivyo kuwa wakusukuma wapinzani ndani.. Ccm lazima ikubali kuachia madaraka kwa wapinzani wao, tumechoka na agenda zao za kikonist
chama cha mapinduzi kinamiliki mali kuzidi Serekali
 
Mungu anampenda Magufuli, amempa nafasi ya kujifunza kwa mwenzake, akikengeuka atakwenda na maji muda si mrefu
 
Mkuu wa hapa tanganyika hawaamini kua yanaweza kutokea kwao nadhani wanajiona wao ni special .
 
Tatizo la tz ni moja, sio rais, ni ccm tu, siku wananchi wakiamka, ccm wote ndani, kwa vile walivyo kuwa wakusukuma wapinzani ndani.. Ccm lazima ikubali kuachia madaraka kwa wapinzani wao, tumechoka na agenda zao za kikonist
Wapinzani mwenyewe akina mbowe?
 
Shetani wewe
 
Yeye ameliona.
 
Maisha huishia ulipoanzia, huu ni wakati wa kuvuna alichokipanda na kula matunda yake.
 
Wapinzani mwenyewe akina mbowe?

Swali lako lipo kidharau sana. Hata kama kisiasa hana nguvu au ana mfuasi mmoja hakuna ulazima wa kuonyesha dharau. Unadhani nchi zinazopatwa na machafuko uongozi ni mbaya sana au upinzani ni imara sana? Ni vichuki chuki tu vinapandikizwa kihaba na haba mwishowe kinajaza kibaba.
 
Bila upinzani imara huwezi kuitoa taasisi kama CCM madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…