min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,287
4 hapana ,mengine yote hakunaNjoo taratibu basi 🤣🤣
Hakuna inaenda wapi na hapana ni jibu la namba ngapi?
4 hapana ,mengine yote hakunaNjoo taratibu basi 🤣🤣
Hakuna inaenda wapi na hapana ni jibu la namba ngapi?
🫂 pole1. Sijui hata maisha rahisi ndio kitu gani
Ujana maji moto, kuna mambo nikikumbuka hata sijui nilifanyaje fanyaje 🤦♀️🙌2. Mistari mingi, ila kwa hapa umekuja ule wa "ujana una mengi na mengi nimefanya, siwezi danganyq nishamaliza" mstari huu huwa nakumbuka ile mikong'oto, 3some, purukushani zote za ujana, mabalaa mengi niliyofanyq, kisha huwa natabasamu tu.
👍3.hii, mpaka nimeze mate ya akili, kwa haraka haraka sina jibu
Sawa, kuwa makini na fanya kile ambacho unaona ni sahihi kwako na si kufuata mikumbo.4.kati ya kutoka na kukaa nyumbani, siwezi kwenda kutiki, bora niingie motoni kuliko kwenda kutiki
Nimechekaaaaaaaaaaaa, ila Maka 😅😆😆😆5. Kunigusa mbona mbali kote huko, mie mtu akiniambia tu amemisi MJEGEJE wangu au kamisi SHUGHULI za kukuru kakara.. ama kuonesha tu dalili ya kumisi huduma yangu
Basi mie DUDUKILA linainuka hapo hapo
Ukimaster hii, maisha yanakua na wepesi flani.1. Nimejifunza kupotezea
Inaepusha disappointments mingi
Nice 🙏🧡🙌2. Majina yote mazuri - umenipigania nakuita Jehovah Nissi. Mungu amenishindia vya hapa na pale
Anza kwanza wewe kutupa jibu, kwanini tuko hivi?3. Ningewauliza wanawake wa karne hii.. kwanini ni wanafki sana
Same here4. Ninabaki nyumbani.. sitaki masihara na siasa zenu
Daah 😅, siongezi neno!5. Manyonyo 🤭😀 + akiniangalia akasema ujue wewe ni mjeuri sana. Kwishaaa
Kumbe1. Nimejifunza kupotezea
Inaepusha disappointments mingi
2. Majina yote mazuri - umenipigania nakuita Jehovah Nissi. Mungu amenishindia vya hapa na pale
3. Ningewauliza wanawake wa karne hii.. kwanini ni wanafki sana
4. Ninabaki nyumbani.. sitaki masihara na siasa zenu
5. Manyonyo 🤭😀 + akiniangalia akasema ujue wewe ni mjeuri sana. Kwishaaa
Mungu ni mwaminifu sana 🙏1. Neema na Rehema za Mungu, mwaka huu kwangu zimefanya maisha kuwa rahisi.
Wewe tena 😅😅2.Zuchu - Raha
3. Binti wa zamani ( kama upo single )
Hujajibu swali buana!4. Nipo kwenye harakati za kusafisha nchi, October 29 tunakazi moja kuwanyonga wahuni na wauji
Wacha weeeh 🤭5. 😅😅 tukikutanisha macho macho, alafu akaweka kichwani chake kifuani imeisha hiyoo
Tuambie na wewe basi ya kwakoNinawafuatilia kwa ukaribu sana hasa hapo kwenye no.5
View attachment 3494863
Tunakutania wapi?MO29 Tukutane site
4. Ninatoka mkuu
MjiniTunakutania wapi?
Hujajibu ipasavyo😹
Safi 💯1. Kuna msemo nilisikia kwenye movie ya spider no way home unasema "if you expect dissapointment you will never be dissapointed" hivyo huu msemo ndo huwa naishi nao
Basi kaongeze kwenye playlist some of my favs : Lana Del Rey - Say yes to heaven & yellow - Coldplay2. Huwa nasikiliza sana nyimbo za love song sikumbuki mstari unao nihusu maisha yangu hasa
All the best - njoo utupe update when it's done kama mtakua salama.4. Naenda kulitetea taifa
Mambo ya kuangaliana yanabamba wengi 🤭5. Sio kunigusa ila kuna aina flani akiniangalia
Chukua pisi hiyo mwamba unafeli wap!1. Sijui hata maisha rahisi ndio kitu gani
2. Mistari mingi, ila kwa hapa umekuja ule wa "ujana una mengi na mengi nimefanya, siwezi danganyq nishamaliza" mstari huu huwa nakumbuka ile mikong'oto, 3some, purukushani zote za ujana, mabalaa mengi niliyofanyq, kisha huwa natabasamu tu.
3.hii, mpaka nimeze mate ya akili, kwa haraka haraka sina jibu
4.kati ya kutoka na kukaa nyumbani, siwezi kwenda kutiki, bora niingie motoni kuliko kwenda kutiki
5. Kunigusa mbona mbali kote huko, mie mtu akiniambia tu amemisi MJEGEJE wangu au kamisi SHUGHULI za kukuru kakara.. ama kuonesha tu dalili ya kumisi huduma yangu
Basi mie DUDUKILA linainuka hapo hapo
OkBasi kaongeze kwenye playlist one of my favs : Lana Del Rey - Say yes to heaven
Sitakuwa all in, pakianza kuvurugika natafuta njia mapema , nalipenda taifa ila napenda maisha yangu sana 😁All the best - njoo utupe update when it's done kama mtakua salama.
- Kitu gani kimefanya maisha yako kuwa rahisi kwa mwaka huu?
Ninao, ninao.!2. Mstari gani wa wimbo unakugusa na unaona kama unaongelea yanayoendelea maishani mwako?
- Kama ungeweza kumuuliza mwanamke yoyote swali, angekua nani na ungemuuliza nini?
4. Vipi kesho kutwa unatoka, unatiki au unabaki nyumbani?
- Sehemu gani ya mwili akikugusa unampa?
Kumbe nini? 😃Kumbe
Point namba Moja inabidi na Mimi nianze kuishi nayo 💯🔥🔥🔥1. Kuna msemo nilisikia kwenye movie ya spider no way home unasema "if you expect dissapointment you will never be dissapointed" hivyo huu msemo ndo huwa naishi nao
2. Huwa nasikiliza sana nyimbo za love song sikumbuki mstari unao nihusu maisha yangu hasa
4. Naenda kulitetea taifa
5. Sio kunigusa ila kuna aina flani akiniangalia
Inabidi utumie akili sana kwenye huu mchezo 😅😅😅Ok
Sitakuwa all in, pakianza kuvurugika natafuta njia mapema , nalipenda taifa ila napenda maisha yangu sana 😁
Hata namba 5 hakuna?4 hapana ,mengine yote hakuna
Aaanha sawa, basi ukae mstari wa mbele kabisa ili uwaonyeshe FFU uanaume wako 😅4. Ninatoka mkuu
Kube ushachukuliwa 😎
Sawa mkuu!Mjini