tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
1991Ilikuwa mwka gani hapo
Lazima watakuwa wanamchukia Magufuli.. Anataka nchi yake iwe donor kama waoMandela now kipenzi cha wazungu,sijui aliwafanyaje wazungu mpaka wakampenda hivi?kuwasamehe walio wabagua kwa miaka mingi nchini mwao?au?
Ndio maana nasema wazungu wakikupenda sana ujue una shida moja ama nyingine na wakikuchukia ujue kuna kitu cha maana sana unawafanyia watu wako ila wao hawana manufaa nacho kwao.
Imewasaidia nini majority wa nchi?Kila nikicheki "Long way to Freedom" ya Idriss Elba namuona mandela kama mtu wa tofauti sana kwa yale mateso kule na miaka yote ile jela kuja kuwasamehe wale wazungu...Ni mtu shujaa sana
MKUU HATA ASINGEWASAMEHE ANGEWAFANYA NINI?Kila nikicheki "Long way to Freedom" ya Idriss Elba namuona mandela kama mtu wa tofauti sana kwa yale mateso kule na miaka yote ile jela kuja kuwasamehe wale wazungu...Ni mtu shujaa sana
Ndio maana Mugabe anawashangaa watu wanavyomuona Mandela mtu wa maana sana kuliko the likes of Mwal. NyerereMandela now kipenzi cha wazungu,sijui aliwafanyaje wazungu mpaka wakampenda hivi?kuwasamehe walio wabagua kwa miaka mingi nchini mwao?au?
Ndio maana nasema wazungu wakikupenda sana ujue una shida moja ama nyingine na wakikuchukia ujue kuna kitu cha maana sana unawafanyia watu wako ila wao hawana manufaa nacho kwao.