Kwaninu J.K Nyerere na Nelson Mandela waliichukia sana Israel na kuisupport Palestina

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,120
34,079
Habarini Wadau,

Kwa aliyefuatilia speeches nyingi za Nelson Mandela na Mwl. J.K Nyerere hasa Wahenga humu watagundua kuwa hawa watu walikuwa wakiwapinga sana Israel pamoja na Washirika wake yaani US, UK, France, German na wengine

Na badala yake waliamua kuwa upande wa Wajamaa Russia, China na Affiliates wengine

Naomba kwa anayejua hasa matukio ya zamani yaliyowafanya wazee hawa kuichukia Israel na Kuipenda na hata kutambua nchi ya Palestina ni yapi?

Ilifikia mahali Nelson Mandela zaidi ya mara 5 alisema

"Hatuwezi kusema tuna uhuru wa kweli kama Palestina haipo huru"

Nyerere ndio alishawaita Waisrael

"Wauaji na Wadhulumaji"

Pia wakati wa Nyerere hakuruhusu hata kuwepo na ofisi ya Ubalozi wa Israel hapa nchini. Ubalozi umekuja kuwepo hivi majuzi tu
 
sababu palestina alikua ktk mlengo wa kiujamaa km sisi
 
Nyerere na Mandela ni viongozi waliofeli.Nadhani kwa karne tuliyonayo na changamoto tunazopitia.Mawazo na fikra zao haziwezi kutusaidia tena.
Mandela aliwauza wapigania uhuru wenzake,Afrika ya kusini leo ipo mikononi mwa Makaburu sababu yake.
Nyerere ndo usiseme,umaskini,uchumi mbovu na sera mbovu tulizonazo.Chanzo ni yeye.
Mm nadhani tuanze kujifunza kutoka kwa watu wengine lakini siyo hao.
 
Ilikuwa kipindi cha vuguvugu la ukombozi wa africa kusini na kaburu mtawala wa africa kusini alikuwa akiunga mkono israeli

Kwahiyo njia nzuri kina Nyerere wakaamua kuwa upande wa magaidi palestine

Lkn baadae Nyerere alikuwa na uhisiano mzuri binafsi na israeli
 
Nyerere na Mandela walikuwa na akili..
Waliweza ona deception za west kuhusu Israel...
Na kama Nyerere aliweza overcome religious bias na pressure kutoka Kwa wanaoamini 'waisrael ni special "..
Sio kila muimini wa waisrael anaeweza ona hiko
Mohamed Said Ebu, mueleze huyu kijana vile Nyerere alivyokuwa Mdini hadi akatumika na kanisa katoliki kufanikisha mambo ya kanisa Africa mashariki.
Nyerere alitumwa na kanisa kuondoa utawala halali wa kiislam zanzibar kwa maslahi ya kanisa.
Wazazibari chini ya utawala wa kisultan hawakuwai kupata madhila yoyote.

Nyerere kwa hila zake na kutumwa na kanisa akapanga mapinduzi ya kuondoa utawala wa kiislam.
Huyu huyu Nyerere leo anasemwa hakuwa Mdini!!.
Nyerere huyu, kanisa likamtumia kumuondoa Amini madarakani.
Ni nani hajui kuwa uislamu wa Amini ndiyo chanzo cha kuondolewa kwake?.
Huyu kijana mahamuma anataka kupotosha history kwa faida ya nani?.
Mzee wangu M, Said huyu kijana mpe nakala moja ya kitabu cha Abdul skys.uenda akaongoka.
 
Hao wote walikuwa ni cha mtoto. Adolf Hitler ndiyo aliyachukia Mayahudi kwa vitendo. Hayo majamaa yaone tu hivyo hivyo. Ni mabaguzi, mabinafsi, na makatili mpaka basi.
 
Mohamed Said Ebu, mueleze huyu kijana vile Nyerere alivyokuwa Mdini hadi akatumika na kanisa katoliki kufanikisha mambo ya kanisa Africa mashariki.
Nyerere alitumwa na kanisa kuondoa utawala halali wa kiislam zanzibar kwa maslahi ya kanisa.
Wazazibari chini ya utawala wa kisultan hawakuwai kupata madhila yoyote.

Nyerere kwa hila zake na kutumwa na kanisa akapanga mapinduzi ya kuondoa utawala wa kiislam.
Huyu huyu Nyerere leo anasemwa hakuwa Mdini!!.
Nyerere huyu, kanisa likamtumia kumuondoa Amini madarakani.
Ni nani hajui kuwa uislamu wa Amini ndiyo chanzo cha kuondolewa kwake?.
Huyu kijana mahamuma anataka kupotosha history kwa faida ya nani?.
Mzee wangu M, Said huyu kijana mpe nakala moja ya kitabu cha Abdul skys.uenda akaongoka.
Mohamed Said
 
Serikali ya Mandela ilikuwa na ubalozi na Israel, na yeye ametembekea Israel mara kadhaa, Africa kusini ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na jumuia kubwa ya wayahudi, makadhi, ma rabbi na masinagogi ya kutosha kwa Africa. Hiyo chuki ya Mandela kwa Israel sijui Ni ipi.

Israel ndio waliomsaidia Nyerere kianzisha JKT na mfumo wa usalama kwa gharama zao, askari wengi JW wamepata mafunzo bure Israel

Kufunga ubalozi ilikuwa ni kujipendekeza kwa waarabu na jumuia ya kimataifa, ndio maana Mungu alimuadhibu, kwenye Vita ya Uganda waarabu waliomsaidia adui yake, jumuia ya kimataifa ikamtandika na vikwazo vilivyopelekea kujiuzuru

Viva Israel
 
Israel ni taifa teule la mungu ! Hamas na mawifi zao watapigwa watapigika
 
Habarini Wadau,

Kwa aliyefuatilia speeches nyingi za Nelson Mandela na Mwl. J.K Nyerere hasa Wahenga humu watagundua kuwa hawa watu walikuwa wakiwapinga sana Israel pamoja na Washirika wake yaani US, UK, France, German na wengine

Na badala yake waliamua kuwa upande wa Wajamaa Russia, China na Affiliates wengine

Naomba kwa anayejua hasa matukio ya zamani yaliyowafanya wazee hawa kuichukia Israel na Kuipenda na hata kutambua nchi ya Palestina ni yapi?

Ilifikia mahali Nelson Mandela zaidi ya mara 5 alisema

"Hatuwezi kusema tuna uhuru wa kweli kama Palestina haipo huru"

Nyerere ndio alishawaita Waisrael

"Wauaji na Wadhulumaji"

Pia wakati wa Nyerere hakuruhusu hata kuwepo na ofisi ya Ubalozi wa Israel hapa nchini. Ubalozi umekuja kuwepo hivi majuzi tu
Sababu nyingi ila chache
1. Plo ya Wapalestina walikua ni wajamaa walipata support toka kwa wajamaa wenzao

2. South Africa walipitia Madhila kama ya Palestina wanaelewa Apartheid inakuaje

3. Israel Wana support settlers mpaka Leo, na kukitokea chochote baina ya wazawa na weupe inajulikana Israel ata side na nani

Agalia hii video

Serikali ya Mandela ilikuwa na ubalozi na Israel, na yeye ametembekea Israel mara kadhaa, Africa kusini ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na jumuia kubwa ya wayahudi, makadhi, ma rabbi na masinagogi ya kutosha kwa Africa. Hiyo chuki ya Mandela kwa Israel sijui Ni ipi.

Israel ndio waliomsaidia Nyerere kianzisha JKT na mfumo wa usalama kwa gharama zao, askari wengi JW wamepata mafunzo bure Israel

Kufunga ubalozi ilikuwa ni kujipendekeza kwa waarabu na jumuia ya kimataifa, ndio maana Mungu alimuadhibu, kwenye Vita ya Uganda waarabu waliomsaidia adui yake, jumuia ya kimataifa ikamtandika na vikwazo vilivyopelekea kujiuzuru

Viva Israel
Kama hufahamu Nyerere alikasirika sana Muandishi wa Habari alipoandika Waarabu waliisaidia Uganda kwani si kweli, bali Ghadafi ndio aliisaidia Uganda na Algeria waliisaidia Tanzania.

Raisi wa Algeria kabla ya kufariki aliacha Wosia kama Tanzania/Nyerere watapata Tatizo lolote basi Algeria waisaidie Tanzania, na Algeria walileta misaada ya Chakula na Silaha na mambo mengine, Silaha tu walileta Meli 3.

Mpaka vita vinaisha Nyerere Akamtuma Mkapa kwenda Algeria kuwashukuru.
 
Nyerere hakuaga na mpango kabisaa na habar za udini udini mambo ya kijinga kama hayo.hakujali ukristo ila aliheshima wakristo, hakuj uislam ila alithamin na kuheshim utu wao..hakuja huo uyahud..aliguswa na ishu ya palestine kwasababu za kiutu wala sio ishu ya dini wala iman yao.
 
Back
Top Bottom