Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Hapo ndo nimegundua upinzani ujinga mtupu ona anachokifanya lema ITV haraf akifungiwa wanabwata siasa mchezo mchafu sana siasa maji taka
Umegonga vitwanga vingapi
Hapo ndo nimegundua upinzani ujinga mtupu ona anachokifanya lema ITV haraf akifungiwa wanabwata siasa mchezo mchafu sana siasa maji taka
Huyu mwizi wa magari ataongea nini zaidi ya pumba tu
umeme
hauwezikatwa kwa ajili ya huyo mvuta bange
Eeee bhana eeee ! Tanesco mkileta ujinga huo mtachekwa sana .
Utaisoma numberHana jipya,,,
Ni live au recorded?, maana ikiwa live anaweza kuzungumzia habari za Jesca
Kumbuka magamba yatakata umeme!....
.......habari njema
Huo tunaita wivu wa ki-shoga!Pia atwambie kwanini alimbaka yule dada mwenye upungufu wa akili.
Kamuulize yule vuvuzela wenu wa magamba.Kipindi kitakuwa live au recorded?
Acha wivu wa kikeAtuambie machinga complex na hospitali ya mama na mtoto alizotuahidi wana arusha ziko wapi
Mmhhh hapo umeyagusa magamba kunako!Wenye upendo na nchi Tutamsikiliza
Ni mbunge wa Jimbo la Arusha mjini.Linaloliliwa na Magamba kwa gharama yoyote ile.Ni mbunge mpendwa ambaye ni chaguo la Mungu na wana Arusha aliyeshinda kura kihalali.Lema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.
Yes ndiye mmiliki wa TV stations zote hapa bongoNdiyo mmiliki wa ITV?
Sasa kama ni hivyo..mbona unaweweseka?Woga kwa Lema? Kuna nini cha maana atakachoweza kusema Lema, hana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kandandia matukio.