Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

Asante sana , Bila shaka Lema atataja bila kigugumizi ile pombe aliyolewa Mtukufu Kitwanga ndani ya bunge .
 
...

.....KAMANDA

rEE.JPG
 
Woga wa nini? Si msubiri msikie atakavyo sema maneno ambayo mtayapima
Woga kwa Lema? Kuna nini cha maana atakachoweza kusema Lema, hana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kandandia matukio.
 
Woga kwa Lema? Kuna nini cha maana atachoweza kusema Lema, hana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kandandia matukio.
hata hotuba yake ni rejea ya matukio yaliyopita hamna jipya
 
Hapana!! Lumumba mmepigwa shoti ya radi mpaka maswali yenu yamekuwa yakitotn sana, naona mnazid kupoteana siku had siku
Kuuliza kipindi kitakuwa live au recorded ndiyo swali la kitoto?

Haya basi ngoja niukize swali la kikubwa.

Hivi ile hospital ya kina mama na watoto pamoja na machinga compelex ujenzi wake umefikia wapi huko Arusha?
 
Niulize kuhusu Jimbo la kawe
 
Back
Top Bottom