Mpiga Ulimi
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 704
- 337
Sasa mbona mmewatuma Tanesco wakate umeme?hata hotuba yake ni rejea ya matukio yaliyopita hamna jipya
Sasa mbona mmewatuma Tanesco wakate umeme?hata hotuba yake ni rejea ya matukio yaliyopita hamna jipya
Umefikia..mwisho....ehe..swali lingine?Kuuliza kipindi kitakuwa live au recorded ndiyo swali la kitoto?
Haya basi ngoja niukize swali la kikubwa.
Hivi ile hospital ya kina mama na watoto pamoja na machinga compelex ujenzi wake umefikia wapi huko Arusha?
Kwa ulofa wako,lema ni role model wako.Natabiri kesho kutakuwa na mgao wa umeme kwanzia saa mbili usiku mpaka saa tano usiku nchi nzima
Hata mimi hilo limenibariki sana. Lema ameongea facts tupu, tatizo humu kuna itikadi za ccm vs cdm. Ujinga mtupu.Lema Amenifundi au Amenikumbusha kitu kikubwa sana kuhusu kujenga Maadili ktk familia zetu, thnx Kamanda Mungu wetu akubarki kwa baraka zote za Rohon, Akilin na mwilini
Wewe umebakwa Mara ngapi mbona hutuambii?Pia atwambie kwanini alimbaka yule dada mwenye upungufu wa akili.
umeme
hauwezikatwa kwa ajili ya huyo mvuta bange
Lema ni nani nchi hii hadi waache shughuli zao wamfatilie? Wana Arusha walipata hasara.
Pia atwambie kwanini alimbaka yule dada mwenye upungufu wa akili.
Jesca huwezi kumuelewa Lema kwa sababu wewe ni kilaza..Kama lema ndio waziri kivuli wa mambo ya ndani ni aibu anaongea mambo ya kitoto tu sijaona hoja ya maana ya kuendelea kumpa muda wa kuja kuongea ITV
Woga kwa Lema? Kuna nini cha maana atakachoweza kusema Lema, hana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya kandandia matukio.
Acha kujitia mwana Arusha wakati maendeleo ya Arusha yetu huyajui, hospital ya mama na mtoto inaendelea na ujenzi karibu utembelee site ujionee, kuhusu machinga complex meya wenu wa kichina Lyimo alibaka hilo wazo na kuzuia site ujenzi usiendelee kwa kusema eneo lina mgogoro ili Lema aspate kura tena,na kuamua kulifanya stand ya hiace hapo soko la kilomberoila mchakato wa kupata eneo lingine unaendeleaAtuambie machinga complex na hospitali ya mama na mtoto alizotuahidi wana arusha ziko wapi
hii ni dhana potofuItakuwa ngumu maana ile kauli ya wapigwe tu itakuwa haitekelezeki na kumbukeni kwamba mambo ya ndani ni mtaji wa watawala dhidi ya wapinzani
Na wewe tukuiteje?.. Akili kubwa?... ha ha hahaaaaKwa upande mwingine wapo wapinzani wanatamani sana kufanya kazi na serikali ya awamu ya 5 ila vikwazo vipo kwa viongozi wao.
"Raisi Magufuli akiniteua kuwa Waziri wa Mambo ya ndani, nitafanya kazi nae nikipata kibali toka kwa Mwenyekiti". Haya ni maneno ya mbunge wa ukawa Godbles Lema!
Wapinzani kama hawa, kimoyomoyo wanaikubali serikali, ila mashinikizo ya chama yanawazuia. Karibu CCM ndugu Lema upewe uwaziri kamili.
Lema yupi yule mwizi wa magari