Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

Dakika 45: Godbless Lema aunguruma ITV

"kikao cha bunge kinaendeshwa kama kikao cha ukoo" Lema
 
Kwa upande mwingine wapo wapinzani wanatamani sana kufanya kazi na serikali ya awamu ya 5 ila vikwazo vipo kwa viongozi wao.

"Raisi Magufuli akiniteua kuwa Waziri wa Mambo ya ndani, nitafanya kazi nae nikipata kibali toka kwa Mwenyekiti". Haya ni maneno ya mbunge wa ukawa Godbles Lema!

Wapinzani kama hawa, kimoyomoyo wanaikubali serikali, ila mashinikizo ya chama yanawazuia. Karibu CCM ndugu Lema upewe uwaziri kamili.
Hivi tulia alijiunga na CCM lini? Mmesahau mlivyomuweka Lema jela?
 
Duh, siri za Bunge zote hadharani kuanzia maadili, utendaji, hadhi ya Bunge, Demokrasia Bungeni n.k

Maadili Maadili kwa Taifa zima ni muhimu nakubali kuepusha ufisadi, wizi wa kalamu n.k

Shukrani Mh. Godbless Lema na televisheni ya ''Taifa'' ITV.
 
Haimanishi ccm na serikali za awamu zake zote hakuna mazuri wameyafanya,la,yapo.lakini toka tupate Uhuru ukiweka mizania ya mazuri na mabaya pamoja na utajiri wa rasilimali tulizo nazo, utagundua wametuchelewesha kweli.Ndio maana tunataka mabadiliko yaki-mfumo
 
Back
Top Bottom